Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

naomba kwa anayefahamu watu wa BAEST huwa wanaanza kufanya field mwaka wa ngapi anijulishe.
0 Reactions
3 Replies
928 Views
Jamani mimi nimechaguliwa awamu ya 3 jkt lakini sina kabisa mzuka wa kuandika hizo barua za kuomba kuahirisha kwenda jkt nyie kwenu imekaaje wakuu?kama mnanishauri niandike naombeni pia mnpostie...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
secure=lack of supportive criteria,,didn't acquare =hujapokea,,,:xo wale ambao course zao ni priority mnaombwa ku-appeal ila majibu yatatoka baada ya siku 90 haya ni majib ya mhasibu Joyce Mgaya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ufafanuz kuhusu hili hii ni bank gani TWIGA BANCROP LIMITED MSaada tafadhar
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nanunua room au kama unaweza kunibeba nitalipa gharama zote za room kwa mwaka mzima (1st and 2nd semester). Kwahiyo kama hii post inakuhusu niPM tuwasiliane vizuri ila kama hii post haikuhusu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
contents broken
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimefanikiwa kufungua lakini nimeingiza namba nikaambiwa you did not secure loan for 2013/2014. sasa cjui ndo nimekosa na kama hvo inamaana na boom na accomodatioin nimekosa au. naomben msaada!!!!!
0 Reactions
115 Replies
49K Views
Ni kweli kutakuwa na second selection ya loan allocation 2013/14?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Me nipo hapa ofisini kwao yani jamaa wanatoa majibu marahisi kweli. Eti wanasema kukosa mkopo ni kawaida tu.afu wanasema wao na tcu hawana uhusiano na zile priority course za kwenye guide book...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Nashindwa kujua serikali ina malengo gani kwetu vijana wa Tanzania. Je ni kutupa ugumu wa maisha na kutaka tuendele kuichukia CCM? Au wanataka kuongeza idadi ya makahaba au tuuze unga? Vijana...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Akizungumzia migogoro, fujo na uharibifu wa mali, Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Benson Bana, alisema inachochewa na kauli za baadhi ya wanasiasa na asasi za kiraia...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
kwa kifupi, chuo hiki huwa kinadaganya uma kupitia mwongozo wake unaotumwa TCU yaan, PROSPECTUS kuhusu swala la ada,kwa mfano mwaka jana schedule waliyotuma tcu ilionesha kuwa kitivo cha elimu...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Umoaja, mshikamano,upendo na amani ya nchi ni pale rasili mali za nchi zinaponufaisha wananchi wote, wakulima, wafugaji,viongozi, yatima,wajane, n.k ; Huu utaratibu wa mikopo ni wa kuligawa Taifa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naona vijana waliokosa mikopo wanawatupia lawama board kwa kushindwa kuwapa mikopo ili waweze kusoma, najua wengi wanafanya hivyo wakiwa na uchungu toka moyoni kwani kuna wengi watakosa fursa ya...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
"The Biblical Money Code" Discover the Lost Investment Principles of Scripture to go from being a Saver . . . to an Investor . . . to a Philanthropist...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mlioenda bodi ya mkopo jaman naombeni mniambie inakuaje?!
0 Reactions
0 Replies
580 Views
kama nimekosa mkopo mwaka huu,mwakani naweza kuomba tena na nikapata?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam jamani.. Hizi habari niloskia ni za kweli au la ya kwamba NACTE wamewamaindi HESLB kwa kutowapa mkopo waliomaliza diploma mwaka 2013???
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari wana jamvi! Mi ni mdada nitokaye ktk familia yenye kipato cha kawaida. Natarajia kujiunga chuo kikuu mwaka huu, Hali inakuwa tete kwani nimechaguliwa chuo chenye ada kubwa nahofia kusoma...
0 Reactions
4 Replies
995 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…