Habari za usk waungwana. Naomba kwa mwenye ditel za uhakika ni sababu zipi zimepelekea tukose mkopol? Je ni pesa zimekwisha? Je tunanuksi na hvt tukaoge maji ya baharini tutoe nuksi hizo? Au ni...
Mwaka huu wametuvuruga vya kutosha sana......Kuanzia kuchelewesha matokeo......tcu nao wakatuzingua.....heslb wakatuzingua na sasa ni zamu ya jkt ...............:frusty:
hadI ker0 jukwaa hili tangu mwezI jana? kila siku post zna0ng0zana kuhusu mikopo by the way mtu anakuta previours post ambayo inajibu maswali yake but anaanzisha nayeye kuulza hayo hayo asbuh...
Nilipata chuo st francis morogoro bachelor of doctor in medicine,ckuwahi kupata tatizo lolote ktk kujaza form na majina waliyoyatoa ckuwemo bt leo nina log in kuangalia loan status naambiwa...
Habar wana jf natumain mu wazma ,nlikuwa naulza hiv inawezakana kwa mtu aliyeomba mkopo mwaka jana ambaye alikosa au kupata kidogo aka apeal tena ili aweze kupata kwa ajil ya ada akapataa ...
Kabla ya transfer nilichaguliwa DUCE Baed. Ila Nikaomba transfer ya kwenda NIT. Tena nikapewa fom maalum pale chuoni nijaze nakuipeleka tcu. Ajabu ni kwamba mkopo umetoka tofauti kabisa. Mkopo uko...
Leo Bodi ya mikopo ya elimu ya juu imetangaza matokeo ya awamu ya kwanza kwa wanafunzi waliomba mikopo kupitia bodi hiyo.(Means testing)first batch 2010/2011 kwa baadhi ya vyuo zaidi tembelea...
kutoka jikoni ni kwamba majina ya wanafunzi walio apply vyuo vya uuguzi yangetakiwa kutoka leo lakini kutokana na tatizo la mtandao wameshindwa kuyaweka kwa hiyo majina hayo yatawekwa website ya...
Wakuu wanaoenda UDOM kuna mtu anaondoka na gari yake aina ya noah anahitaji watu 7 wamchangie mafuta aondoke nao tar 12/10/2013 asubuhi saa 2 ubungo. kila mtu amchangie 20,000. namba yake ya simu...
napenda kufaham kuhusu kozi ya Mechanical Engineering wanayotoa NIT ipo fiti kama za DIT,MIST au ST.joseph ,pia ina maslahi mazuri katika sekta zipi? msaada wenu wana jukwaa