Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

jaman mkopo niliopewa wameupeleka chuo ambacho cjachaguliwa!!naomba msaada kwa mwenye namba zao za cmu!!
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habar zenu wanajamvi.nmebahatika kuchaguliwa st Joseph-songea,nilikuwa naomben mwenye kujua kuhusu maelezo muhimu kuhusu mambo ya joining..
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wadau nifahamishen, hiv nit wamegraduate mara ya ngap kwa watu degree?then why mkopo ni piority kwa chuo kile 2,tena ni koz zote
0 Reactions
15 Replies
4K Views
kwa taarifa zaid tembelea sjut.ac.tz angalia kwenye news
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wakuu kwa utafiti niliofanya nimegundua kuwa,shule bora za serikali na kombi wanazotoa kwa boys ni ,Tabora boys>>HGL,PCM MZUMBE>>HGL ,PCB ,KIBAHA>>PCM,ECA&CBA ,ILBORU >>HGL,PCM ...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Jaman samahani kwa usumbuf, naomba mniangalizie jina la mdg wang Stephen Mary plz nisaidien
0 Reactions
12 Replies
2K Views
jaman naomba msaada wa mchanganuo wa mahitaji na jumla ya ghalama za fedha ktk chuo kikuu st.joseph nakama mtu anatetes zozote kuhusu joining instructions.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Inakuwaje chuo kinafunguliwa wanafunzi hawajapangwa kwenye makundi(groups) walimu wanaanza kufundisha! Huu ni utaratibu wa wapi zama hizi?
0 Reactions
20 Replies
3K Views
jamani najina Ya Second Round Robo tatu nzima wamemwagwa IFM na Hawakuichagua wengi wao.... Hii inaashiria IFM ina Mapungufu kidoogo. na wengi waliotupiwa wana tokeo la Kuyumba yumba kana...
1 Reactions
193 Replies
28K Views
Jamaan kuna aliyepata mkop?kama vp niangalizie namimi s0471/0152/2005.niko bush cm uwezo mdogo inagoma
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kujua masomo yake yako vp kwa ujumla,ajira zake na majukumu yake,pia mahali husika pa kufanyia kazi au kupata ajira ni wapi.. na je coz hii inalipa au ndo inaongoza kwa kuweka watu mtaani...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Naombeni msaada maana kwenye website yao sioni kitu
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wakuu kwa wale wanaojua majina vitabu vinavyo weza tumika kwa ajili ya module e na f za cpa. Naomba msaada shukrani
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habar zenu? Wakubwa eti majibu ya walio 0mba kujiunga na masomo kwa ngazi ya certificate yameshatoka?(TIA)
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa heshima na taadhima, ningependa kutoa maoni yangu, kuwa, chuo cha mwalimu nyerere ingepandishwa hadhi na ikawa MWALIMU NYERERE UNIVERSITY. Kwa kuwa imeanza kutoa kozi mbalimbali. na hiyo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau Shule gani nzuri ya private kanda yaziwa'? Hata zaseminary '' Christian'' Kwa o'level.....
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama topic inavyojieleza Mwenye upeo anisaidie hatua za kufuata ili kuahilisha masomo ma uapply tena next year maana nimeachwa na H.E.S.L.B na siwezi kumudu hata nusu ya gharama zinazohitajika...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuendelea kufungia magazet ei hoja
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Jamani kuna continuous applicant yoyote aliyekosa mkopo kwa mwaka jana na akaomba mwaka huu ambae amepata mkopo?...Ama Loan Allocation zilizotoka ni kwa first year peke yake?...nawasilisha
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu naomba tukumbushane vituko,mikasa,na mambo mbalimbali uliyokumbana nayo wakati unasoma shule ya sekondari ya bweni(boarding),
2 Reactions
154 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…