Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Mpaka sasa idadi kubwa ya first year hawajaenda kuripoti kwenye vyuo vilivyoanza usajili kutokana na kutojua hatma yao ya kupata mkopo, hivyo tunaomba bodi mjipange mapema kwa kutoa majina ili...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya kipindi cha hofu nyingi hatimae sasa nimepumua.UKWELI ni kwamba niliugua sana kipindi najiandaa na mtihani wa form six.kutokana na hali hii matokeo yangu hayakuwa mazuri kwani nilipata...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
hiv ukisoma chuo cha ualimu private, kwa ngazi ya cheti,unaweza kuajiliwa ktk shule za serikali? nifahamishen wadau
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hayo yameongelewa leo kwenye pres conference na waandish wa habar jijini dar es salaam..
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mada juu ya jieleza, Walimu wakenya waliweza kugoma hadi serikali yao ikatii sheria kwa shuruti.Ikatekeleza Madai yao baada ya mgomo wa wiki mbili na ushee.Sasa tunaona mwendo mdundo huko Uganda...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Poleni kwa kazi na mjukumu mengine ya kila siku wakuu, Sio mwenyeji sana wa morogoro manispaa na nimehamishiwa hapa kikazi, lengo langu ni kufahamu kama kuna VITUO VILIVYOIDHINISHWA KWA MASOMO...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hongereni kwa wale mliochaguliwa kujiunga na Chuo cha Usafirishaji (NIT). Kwa waliopangiwa kuja kusomea degree, ktk suala la malazi inabidi mfaham hostel za chuo huwa wanapewa kipaumbele wanafunzi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hizi coz zina utofauti gani wadau barchelor of science with education na barchelor of science in education,coz huwa sizielewi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jaman mwenye ufahamu juu ya chuo hk,ni kizur?kimesajiliwa? Na gharama kwa ujumla. ntashukuru kupata msaada
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Hivi karibuni Serikali imetangaza mpango wa Matokeo Makubwa Sasa, moja ya Wizara inayohusishwa na mpango huo ni Wizara ya Elimu.Tumeshuhudia takribani viongozi -REOs- wa mikoa kama nane wakila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani ndugu zangu nimefika mwisho sasa kama kuna anayejua wapi huwa wanatoa udhamini wa masomo naomba anisaidie. Mimi ni mwanachuo wa chuo cha waganga.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hungry techies everywhere from Nigeria to Ghana, Kenya and South Africa are building web-based companies providing simple solutions for some of our most daunting challenges and inconveniences...
0 Reactions
0 Replies
706 Views
Wana jf wenye experience,au knowledge juu ya hii course naomba information zaidi juu ya ajira yake...na course kwa ujumla
0 Reactions
5 Replies
3K Views
ndgu zangu naomba msaada kujua wafanyakaz wa maswala ya procurement wanavyolipwa mishahara yao iwe private au govenment..
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Bodi ya mikopo imetoa majina ya wanafunzi wa udsm ambao hawakuupdate mikopo yao.. so kama ww ni mwanafunzi wa udsm kutoka CASS wasiliana na mwenyekiti wa CASS kwa info zaidi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello jf!!wanafunzi 27 wa mwaka wa pili ktk college ya uhandisi{udsm} wanaochukua bsc in civil engineering wamedisco,na wengne wengi wanaochuka uhandisi wa fani nyingne nao wamedisco!!swali,ni...
0 Reactions
64 Replies
10K Views
habari zenu...samahani nina rafiki yangu amesoma certificate then diploma na sasa hivi angetakiwa awe anaingia degree tatizo ni matokeo yao ya chuo alichokuwa anasoma ya diploma yamechelewa kutoka...
0 Reactions
4 Replies
911 Views
Je unazikumbuka hizi? 1.kibanga ampiga mkoloni 2.Siku ya gulio katerero 3.Chilunda apambana na chui 4.Ndoto za kimweri 5. Pamela na kipini 6.Watoto wageuka mawe 7.Sizitaki mbichi hizi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Msaada wana jamvi,naomba nifahamishwe hii kozi Bachelor of education in special needs ajira zake unafanya kazi wapi? na je,uhakika wa ajira upo? Pia nahitaji taarifa za field huwa wanafanyia wapi...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
just pm me nikufanyie mpango bodi am seriosly
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…