Wadau samahanin,mm nlifanya transfer ile ya tcu(3rd round)..nliapply bachelor of technology in horticulture-St Joseph College Of Agricultural Sciences and Technology,Songea..kwa mwenye updates...
Kila kitukipo wazi kwa wasioweza kuyapata kwa website basi sasa yapo hapa jionee mwenyewe
1. Majina ya waliokosa mkopo2013/14
2. Majina ya waliopata mkopo 2013/14
3. Waliochaguliwa 2013/14
kwa mujibu wa tafiti za kisayansi Sehemu kubwa ya dunia imefunikwa na maji (bahari) huku sehemu ndogo iliyobaki ikiwa nchi kavu..
jua (sun), limeumba kwa mchanganyiko wa gesi mbambali...
St. Augustine University of Tanzania is the best university in town, the best university inTanzania and the best university in the world at large
you are luck to be here
"We are Building The...
Nakumbuka nipokuwa nasoma advance kila mtu alikuwa anasema kombi anayosoma ni ngumu na ni bora kuliko kombi zingne na inatoa sana kimaisha .Haya mm sikatai kuwa kila kitu ni kigumu na kinatoa...
Hatimae udsm wametoa majina tar 19th sep 2013 ya wanafunzi waliomba kuhama vyuo 2013/14,for more info:visit udsm.ac.tz or mcheck [updated-boy]"0768260834"!
Jaman wanajf naomba msaada wenu,ni vyuo vipi vinatoa diploma ya clinical medicine ambavyo bado kuna nafasi ya kujiunga kwa mwaka wa masomo 2013/2014.naomba mnisaidie.asanteni
inasikitisha binti wa kidato cha pili kabakwa na wanafunzi wa tano kidato cha nne...huku wanafunzi hao wameendelea kuwepo shuleni bila kuchukuliwa hatua...
Ndugu wana JF hususan walimu, napenda kufahamu malipo anayopaswa kupewa mwalimu aliyesimamia mitihani ya darasa la saba mwaka huu baada ya kuteuliwa kuwa msimamizi mkuu na msimamizi wa kawaida...