Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naomba msaada wa jinsi ya kuomba chuo bila kupitia t.c.u kwani kwenye slots vyuo vingi vizuri havipo na kuhusu mkopo itakuaje?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Jamani wana jf naomba kuuliza hivi mtu aliyemaliza kozi hyo ya clinical assistant anaweza kusoma degree ya medical administration au management? Maana nasikia kwamba sifa ni "any medical related...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Mahsusi kwa Orest Kawawu, Merry Edward na Salum Mkambala. Binafsi naomba niseme kuwa kwa kipindi kirefu nimekuwa mdau wenu sana katikakusikiliza kipindi hicho, ila katika siku za hivi karibuni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Eti wkubwa naombeni kufaham tarehe y kuripot st joseph songea maana joining instruction waloni2mia siielewi vle, coz wamenambia nimechaguliwa bachela of technolgy in agriculture ila wameandika n...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ningependa kupata list ya vyuo vilivyosajiliwa na NACTE vinavyotoa certificates na diploma za Journalism/Mass communication katika jiji la mwanza. Ntashukuru kwa taarifa
0 Reactions
3 Replies
14K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu sina stori nyingi nitakuja na full detail.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
It is amazing what stress can do to you. Yes stress, it has both negative and positive impact on the human body and mind. Stress forces you to be creative and see things in a whole new perspective...
0 Reactions
1 Replies
760 Views
Hbr zenu wakubwa? Nimemaliza form 4 mwk jana nimepata 4-30 yaani nimepata B/Keepng =D Commerce =D Biology =D Math =C Nilienda kutafuta kituo kw ajili ya kurudia...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Salaam wana JF.. Wakati napitia maelekezo ya msingi kwa 1st year students nimekutana na huu utata... JOINING INSTRUCTION.... RESIDENCE accomodation at all campuses is available on application at...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
jamani nimemaliza diploma ya IT ya chuo cha IFM ila nilichelewa ku apply mwaka huu tcu mpaka nimekosa nafasi sasa kuna chuo huku mjini cha wahindi kinaitwa APTECH UNIVERSITY hiki chuo huwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
jamani naomna mwenye info kuhusu selection na reporting day za hiki chuo anipe sababu sijui niangalie wapi....
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wazalendo Chuo cha Ualimu Korogwe S.L.P. 533, Korogwe NDUGU Mhariri, Sisi ni watumishi wazalendo katika Chuo cha Ualimu Korogwe, mkoani Tanga. Tunasikitishwa na uendeshaji mbovu wa chuo...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wale mliochaguliwa ifm naombeni updates za huko na michakato ya kupata hostels za pale mjini.. ADD ME WATS APP 0769535268
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Kwa mnao2tangulia kwenye usahili Institute of Finance Management .'IFM'.mtujuze hasa ni nini kinahitajika wakati huu wa usahili Tafadhali.. Nawasilisha Wakuu..
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani naombeni mwenye updates zozote kuhusu ajira mpya za ualimu zinatoka lini maana nimechoka kupiga tempoooo!!
0 Reactions
9 Replies
10K Views
wakuu natafuta mfadhili wa kugharimia masomo ya shahada ya pili(Masters). Mdogo wangu kamaliza shahada ya kwanza nami sina uwezo wa kugharimia hayo masomo ya ngazi hiyo. Ahsanteni!
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Kwa wale wote ambao mnakuja sua mmechaguliwa chuo bora kabisa hapa tanzania.but chondechonde wadogo zangu mkija msije mkajisahau coz hapa sua kitabu ni tight ukizingua fasta unaliwa kichwa.sua ni...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
kwa hapa EAST AFRICA kozi hii inafundishwa chuo gn?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo ndani ya UDSM nikakutana na idadi kubwa ya wanafunzi. Idadi hii ilinipa mshawasha wakuuliza kulikoni! Kwani siku na tarehe yakufungua chuo bado. Kwa bahati nzuri nikakutana na baadhi ya wasomi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wale wote wadau wa nacte applicant.kesho mpitie kwenye account zenu. Source.*;>
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…