Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naomba kuuliza. Atii ukiwa mwaka wa pili unaweza kuomba mkopo na ukapata? Au aiwezekani?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimechaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha afya CUHAS (BUGANDO) kusoma MD but hali ya kiuchumi nyumbani sio nzuri sana nimefanikiwa kupata michango kutoka kwa watu mbalimbali na baada ya kulipia...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
habari wadau.hivi inakuwaje kwa chuo cha amucta,wanafungua tar 16,sept,wakat tcu,wamefanya mabadiliko ya watu walobadili vyuo.hawaon kufungua tarehe hyo ni kuwanyima watu haki? au wamebadil tarehe...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
tunaporipot chuoni lazima tuwe na vitu kama vile 1:chet cha kuzaliwa org 2:cheti cha form 4 org 3:passport size 4:kitambulisho chochote mf: bank,kupiga kula au leseni 5:result slip ya form 6...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Mwalimu mmoja wa shule ya sekondary Kiraracha mkoani kilimanjaro afumaniwa akiwa akiwa na mke wa headmaster huku headmaster akijua huyu ni mwalimu wake wa pekee ktk hesabu shuleni hapo. Aliamua...
0 Reactions
1 Replies
799 Views
Ni siku chache zimepita niliandika mada tajwa hapo juu. Nafsi imebidi nianze pole pole kuleta yaliyo bayana. Kwa leo naleta mambo kumi na tatu tu na kwa ufupi. 1. shule hii haina BODI YA SHULE...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mheshimiwa Waziri wa Elimu, Dr.Shukuru Kawambwa., Mheshimiwa Waziri, ofisi ya waziri mkuu Tamisemi anayeshughulikia elimu,Kassim Majaliwa., Mheshimiwa waziri wa wizara ya maendeleo, jinsia na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hatimaye malalamiko ya wafanyakazi na wanafunzi wa chuo cha Mwalimu Nyerere (kivukoni) yamemfikia Rais Jakaya Kikwete. Habari kutoka Ikulu zinasema kuwa malalamiko hayo yameandikwa kwa mfumo wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
ACCOMMODATION INFORMATION FOR NEW & CONTINUING STUDENTS ACADEMIC YEAR 2013/2014 A: IFM HOSTELS Hostel Name: Block C Gender: Male Capacity: 324 Students Location: IFM Main Campus (Shaaban Robert...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Wanajamii nasikia kunachuo kikuu ambacho kinaendesha utaratibu wake kama seminary hapa Tz naomba kukijua ili mwakani nimpeleke manangu hii ni kutokana na vyuo vikuu vingi vimekuwa madangulo
0 Reactions
25 Replies
3K Views
habari wana jamvi.mimi ni mwalim wa sekondari wilaya kilosa.nina miaka minne kazini,na wenzangu wote tulioanza kazi mwaka mmoja,hatujapanda madaraja,na hakuna dalili yoyote ya kupandishwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kiongozi mmoja inasemekana amefukuzwa kutokana na kujihusisha na masuala ya ngono chuo cha MUM.mwenye full information atujuze pz
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kama umechaguliwa kozi mining, mineral processing au petroleum engineering utasoma kozi moja iitwayo ENGINEERING DRAWING katika muhula wa kwanza hivyo utatakiwa kununua vifaa vya kuchorea (drawing...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu napiga comb hii ila na wasiwasi nayo ! Je nini nifanye kuikabili?
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Chagueni watu wachache kisha muwatume Loarns Board ili wakahakiki kama majibu ya loans officer wa chuo ni sahii. Huu ni mkataba ambao mmeingia na board na umethibitika pale board walipokubali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I am an interdisciplinary researcher in the field of Natural resource Management especially the coastal ecosystems. I have extensive experience in quantitative and qualitative research...
0 Reactions
2 Replies
726 Views
kwa wale wote waliosoma DIT bachalor ya mechanical engineering nisaidieni mwongozo wa semester ya kwanza ni masomo yapi mnaanza nayo pamoja na sylabus zake
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Naomba kupewa mwanga kwenye haka kaswali. WAWATU club is a non-govermental organization established on 1st apil 2010 by 20 founding members to deal with HIV/AIDS sensitization program.the club's...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…