Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Its a unique university providing programmes like archtecture building economics which no university in Tanzania provides most welcome you will enjoy the conducive studying environment you will...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Nimesikia kwamba waliomaliza kidato cha nne kuanzia 2008 kurudi nyuma hawapati mkopo, kuna ukweli wakuu? na je kama umefanya mtihani kam PRIVATE CANDIDATES mkopo upo vip?
0 Reactions
2 Replies
854 Views
hivi wadau niwaulizeni?mtu ambaye kakosa loan kwa maana ana 0%,je atapata ile 7500 ya kila cku(accomodation)
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cross-posting from The BBC.co.uk — A link between the size of a father's testicles and how active he is in bringing up his children has been suggested by scientists. Researchers at Emory...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
ndugu wadau naomba tusaidiane katika suala hili,maana siku moja nilipata kutembelea shule furani ENGLISH MEADIUM ambayo ipo rujewa kukuta watoto walio kuwa wakiuza chapati,ubuyu n.k,kunyang'anywa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari zenu wakuu..!!! poleni kwa majukumu ya hapa na pale!! bila kwenda mbali, mimi ni mmoja kati ya wale wasomi kutoka shule za saint kayumba, yes saint kayumba. najua mwajua sababu ya shule...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
What'up wanajamvi pande za wanazuoni! Straight to point ningependa mnijuze taasisi gani inawajibu wa kusajiri vyuo vidogo vidogo ambavyo vinatoa elimu kwa ngazi ya cheti mfano ya computer...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nimesikia kwamba waliomaliza kidato cha nne kuanzia 2008 kurudi nyuma hawapati mkopo, kuna ukweli wakuu? na je kama umefanya mtihani kam PRIVATE CANDIDATES( FORM 6) mkopo upo vip?
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Habar za majukumu wanajf..mi naomba msaada wa shule za sekondari za serikali.zilizopo nje kidogo ya mkoa wa dar.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana jamvi ni hatua zipi ambazo nikifika chuo nizifuate ili niweze kubadili course msaada tafadhari kwa wajuzi wa mambo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
tembelea website yao aru.ac.tz wameweka form zote but sijui wamesahau au vipi kuweka admission latter..
0 Reactions
25 Replies
2K Views
AMRI KUMI ZA CHUO. 1.Hicho ndicho chuo chako usiwe na chuo kingine ila hicho. 2.Usilitaje bure jna la chuo chako mana utawaumiza wengine. 3.Ikumbuke cku uliyochaguliwa na kuiheshimu...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari GT katika pitapita zangu humu educational forum,kuna topic fulani ya 2011 inayohusu ukosefu wa ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu..kuna post nzuri ambayo GT mmoja aliileta ili kusaidia...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
eti admission latter za MUCE zimetoka au bado!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tafadhali naomba kuuliza, hivi kuna uwezekano wa kufanya maombi TCU kama nikienda makao makuu? Maana nimefanya maombi HESLB lakini nilishindwa kufanya maombi ya TCU kutokana na kuchelewa na vocha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kuna jamaa mmoja eti anasema watatoa ila hawatatangaza kama ilivyo kuwa 1st and 2nd round selection
0 Reactions
1 Replies
1K Views
For those who have been selected for Software Engineering at UDOM let's know each other here
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajamvi,ikiwa sikufanya application ya TCU naweza kuomba direct kwenye vyuo? Majanga yaliniandama nikashindwa ku-apply kwa nafasi zote mbili zilizo tolewa lakini HESLB nimeomba. Naweza kusaidika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati wanalalamika makato ni makubwa sana,Serikali kwa ushirikiano na Cwt wameamua kuanzisha Bodi ya kitaalam ya Waalimu na ni ya Kisheria.Inaitwa Tanzania Teachers Professional Board Act 2013...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Salaam wana JF, Ninasikitishwa na hali ilivyo katika Chuo Kikuu Cha Jordan Morogoro.Ifahamike kuwa chuo hiki ni tawi la chuo kikuu cha Mt. Agustino Tanzania(SAUT)na kimeanzishwa mwaka 2010 kwa...
0 Reactions
72 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…