Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jamani eeeeh naona awa jamaa wanaweka watu roho juu; Anayejua kuhusu matokeo ya Ministry of Health and Social Welfare ebu anisaidie info alizonazo.!!!:help::help::help:
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ipi ni bora na ina wide opportunities ktk soko la ajira in tz.?,nawasilisha wakuu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Congratulation from IFM. You have been selected to join IFM for your Bachelor degree course. Registration will start on 16th September 2013 for privately sponsored students. For HESLB sponsored...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wanafunzi wa Elimu ya juu sasa wanauwanja mpana wa kutoa na kuhabarishana taarifa mbalimbali zinazotokea ndani na nje ya chuo ambazo zinahusu maisha mazima ya elimu ya juu nchini. tzcampusvibe |...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nchini Tanzania inaaminika kuwa kuna wasomi wachache,kwa tatizo ili la wasomi wachache basi hao waliopo wangekuwa wanatumika kwa fujo sana katika maeneo mbalimbali yanayoitaji taaluma. Sasa cha...
0 Reactions
54 Replies
7K Views
Kuna taarifa kwamba imekuwa tabia kwa wanafunzi wa chuo kikuu mlimani kusoma tuition kitu ambacho ni nadra sana kukiona chuo kikuu. Nasikia mmoja wa walimu anaitwa Touwa, ati anafundisha account...
0 Reactions
95 Replies
9K Views
Nimeingia ktk Tovuti yao, nimeshindwa kuona tarehe ya kuripoti wanafunzi wa MD mwaka wa kwanza. Hata sehemu ya ku-download Joining instruction sijaiona ikiwa na taarifa zote muhimu kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna jamaa mmoja ameniambia maana yake ni Pending not selected.namgine Pending selection,kwa mimi ninavyo ona ni PENDING SELECTION.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Online learning center provides new features and services to discover new learning opportunities, better manage your career, request external training or connect your employees with the learning...
0 Reactions
1 Replies
683 Views
Niko Tarime, ni mwl sekondari. napenda kuhamia wilaya ya NYAMAGANA au ILEMELA. kama uko tayari kuhamia TARIME, basi gharama zote za kushughulikia mchakato nitalipia mimi.
0 Reactions
0 Replies
948 Views
heb wanajamii tuelimike basi.. ww unaupdate mada iliyopita ili iweje.. hebu uwe na akili.. msituletee mambo ya kitoto.. nendeni huko facebook... alaah...!
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Wadau naomb ka zmetok naomb mnifahamishe
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Its official from IFM: CHANGE OF OPENING DATE:Classes are now to start on 14th October 2013 and not 21st October 2013 as stated earlier. Registration starts on 16th September. Orientation week is...
0 Reactions
14 Replies
11K Views
sijajua kwanini bodi ya mikopo wanachelewa kutoa majina kila mwaka na kusababisha wanachuo kutaabika vyuon,,,!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Matokeo ya kidato cha nne yamevuruga future za walio wengi kwani wengi walitegemea kupata alama nzuri zitakazowawezesha kuendelea advance, swali langu ni juu ya watahiniwa waliopata kwanzia div...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ikoje wakuu natafuta link hiyo sipati nataka kuchek possibiliy ya kuhama chuo?
0 Reactions
3 Replies
988 Views
Kwa wale Wakuu ambao wanaifaham hii program ya Arts with Education-TURDACo naomba kufahamishwa Co-subjects za course hii
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale ambao wanataka kutuma maombi ya kujiunga na elimu ya juu,leo ndo mwisho kusabumiti form zao,ambao watakuwa 3rd round selection,Pia ambao wanauwezo wa kuchange course au programe maana...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndugu zangu wote waliopata mkopo na wale waliokosa kwanza kabisa nipende kwa pamoja sote tumshukuru Mwenyezi Mungu kwani ana mipango na sisi wanadamu aijalishi umepata mkopo au la...
4 Reactions
103 Replies
33K Views
Diploma hawawezi kupata mkopo,kwa sababu mbili kuu, 1.diploma ambao wame base kwenye education,agriculture,sayansi subject,mathematics.hawo ndo wanaweza kupewa mkopo. 2.degree in...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…