hivi ili usome barchelor za engineering lazima upitie PCM!
NA KAMA PCM NDO ANASTAHILI NI FULCUT ZIPI ZITAMSUMBUA PCB? AU AKIKAZA MAMBO SAWIA..
NIPENI MTAZAMO WENU!
Ipi ni masters nzuri baada ya kumaliza BSc.Education(Bachelor of science with education),either M.Sc(Mathematics),M.Sc(Management) au kama kuna nyingine yoyote unayoifahamu,please naomba...
Wale wanaodharau wanaoenda kusoma education ajue ya kwamba hadi hatua aliyofika ni kwa juhudi za mwalimu..ujue kwamba ulizaliwa bila kujua chochote kuhusu elimu ..lakini mwalimu wako alikufunza...
Kila siku tunashuhudia thread zinazohusu Tcu na Heslb kwa wingi...haya tu-enjoy kivingine kwa kutunga sentensi ya kiingereza kwa kutumia haya maneno.."Simply because..............it doesn't...
Nmepata taarifa kuw air tell yatosha imetema tena madude leo. taarifa hii nimeipata kwa mdogo wangu aliyek jkt kwamba kuna wenzake wameangalia post leo hii. nilipojarib cod uyao ya *150*44#...
kwa wale watakaochaguliwa kujiunga saut main campus katika degree ya EDUCATION,LAWS[LL.B],SOCIOLOGY,BUSINESS ADMINSTRATION"hakikisha unasoma list watakaoitoa wao kama chuo na sio ile ya TCU kwani...
Ngoja tuangalie hawa wanafunzi X na Y waliokua wanasoma shule Z.
X, hakuchaguliwa kujiunga na shule ya sekondari 2002 baada ya kumaliza la saba 2001(alienda MAKOKO SEMINARY MUSOMA)
Y...
Kwa wale waoijua vizuri udsm political science&public administration (PSPA), public administration au public relations &advertising, Ipi program nzuri ya kusoma na kwanini.
Maka sasa wengi walioomba nafasi za kusoma katika vyuo vya AFYA bado wapo kwenye wakati mgumu
hasa pale wanaposikia kuwa kuna ushindani balaa.
je,ni lini Wizara ya AFYA itaziwasilisha post hizo...
Poleni kwa majukum,
naomba msaada wa mawazo yenu, mdogowangu aliomba chuo cha afya zanzibar na kwa bahat nzur kachaguliwa diploma in nursing,
anatakiwa kuripor tar 9 mwez ujao. Kitu...
Natafuta mwl wa kubadilishana nae kituo cha kazi idara ya msingi toka mkoa wa arusha,kilimanjaro au morogoro yeye aje Bunda mkoa wa Mara.kwa mawasiliano zaid 0787181565
Naomba maelezo au ufafanuzi kwa anayefahamu kuhusu zile schoolorship zilizotolewa kwa niaba ya serikali ya mozambique, kama ukichaguliwa utaratibu wake unakuwaje? Msaada kwa yeyote anayefahamu please!