TCU to release list of successful candidates soon.
In Summary
TCU spokesperson, Mr Edward Mkaku, told The Citizen that the names would be verified by the councils of each learning institution...
The Bible, the Qu'ran and Science: The Holy Scriptures Examined in the Light of Modern Knowledge
Jisomee hapa. Bofya neno kitabu hapo chini.
kitabu‎ (pdf)
au hapa
kitabu (word)‎
Waomba mikopo heslb 2013/14 wote watapata mikopo kwa 100%Leo HESLB wametoa taarifa kwa Umma juu ya idadi ya waombaji wa mikopo kama ilivyoandikwa hapa chini:
UTANGULIZI:
Bodi ya Mikopo ya...
Ndugu zangu watanzania naomba mnisaidie jinsi ya kupata scholarship in applied mathematics and computational scieence, nimeshapata chuo na nimepewa provisional admission kwenye hii programme chuo...
jamani naombeni kujuzwa kama st.jon universty wanatoa diploma ya general argriculture na sifa za kujiunga ni zipi na intakake ni mwezi gani ntashukuru kwa msada wenu
kama kuna boy kachaguliwa engineering st. Joseph ya dar pale kwa wahindi...na amepata chumba cha kuishi karibu na chuo kipo poa tutafutane kama vp 2tashare gharama.
mliochaguliwa makumira, ni vizuri mkautumia huu uzi kuuliza maswali mbalimbwli kuhusu chuo na vingi mnavyotaka kuvijua. wadau wa makumira watawapa majibu na msaada hapa.
vitu muhumu ni kuwa
1...