Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari wadau. Naomba kufahamishwa mazingira ya chuo hiki cha Arusha university hasa malipo ya ada na michango na ulipaji wake kama ni kwa awamu ni % ngapi? ,lazima kukaa hostel? , chakula je...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Katika mabadiliko yaliyofanywa na rais kikwete kwa makatibu wakuu,hatimae neema yamuangukia aliyekuwa mtendaji mkuu wa tume ya vyuo vikuu ( TCU) Prof Sifuni mchome baada ya kuteuliwa kuwa katibu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Daah coz 2nasubiri bila mafanikio naona
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Check out www.tcu.go.tz, pia kuna list ya wale ambao hawajachaguliwa 1st and 2nd round.
2 Reactions
31 Replies
21K Views
Jamani kuna rafiki yangu alijikuta amejaza course ambayo ipo open university,kimakosa.sasa anataka kubadilisha,je,iyo inawezekana kutumia muda huu,wanapofanya awa wa third round application?lakini...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Anayeijua hii vizuri na kwa undani,anipe A,B,C PLZ
0 Reactions
0 Replies
1K Views
waungwana kama yupo wa ita ajitokeze tuulizane mawili matatu
0 Reactions
1 Replies
856 Views
eti mtu anajidai eti kachaguliwa uds,udom mara mzumbe na kuwaona wengine wanaokwenda kwenye vyuo vingine kama hawatapat elim bora kama yake,afu mbulula mwenyewe eti udsm BAED hajui kama akimaliz...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Tafadhal i yeyote mwenye uelewa kuhusu hii kozi atusaidie. Asanteni &Nawasilisha!
0 Reactions
4 Replies
4K Views
wakuu, msaada asee izi selection za diploma wanatoa lini asee?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu zangu kama una swali lolote kuhusu chuo cha mkwawa tuulizane hapa.
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Tar 16...cbe waliachia mzigo...wakafuata mt meru university...bila kupoteza muda st joseph university...siku zikazid kwenda TIA...nao wakaona xo ishu wakatoa mzigo...bila kuchelewa jordan...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
jaman naomba anayeifahamu kozi ya bachelor of science in applied geology ya udom tafadhali anijuze ikoje ili nijipange.naomba mwenye msaada anipe.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
je unataka kujua umepangiwa wapi? Weka namba yako hapaa nikuangalizie sasa! CHANGAMKAAA!!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa mtililiko huu tcu mwaka huu,tutafika mpaka ''call fourth selection''.majanga mwaka huu,agizo la mweshimiwa rais wadail wanafunz wengi coz,kuna mapunguvu mengi ususan wahadhiri,sasa sijui loan...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wadau,jana TCU wamefungua system yao tayari kwa application ya round ya tatu. Tukumbuke application ilifanyika kwa round ya kwanza,nafasi zikabaki,ikaja second round,na sasa ni ya tatu! Kuna...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Ndugu zangu wana UDSM, kuna taarifa ambazo nimezithibitisha mwenyewe kwa mahijano na viongozi wa UDSM baada ya kuona tangazo lililobandikwa kwenye mbao nyingi za matangazo pale ud na kwenye...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
JOINING INSTRUCTIONS FOR UNDERGRADUATE STUDENTS SELECTED TO JOIN SAUT MAIN CAMPUS MWANZA FOR THE 2013/2014 ACADEMIC YEAR, for more info visit saut.ac.tz
1 Reactions
0 Replies
4K Views
tembelea website yao http://www.universityofarusha.ac.tz/
1 Reactions
50 Replies
5K Views
habari zenu wakubwa..!? mi nashauri wadogo zangu wa mwaka wa kwanza wenye mipango ya kuhama chuo kwa sababu tu hawapendi course fulani ama mazingira na sababu nyinginezo, hili swala liko...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…