Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kwa wale walioomba kujiunga na chuo hicho cha ITA ktk programs mbalimbali wanaweza kucheki majina yao kupitia web ya chuo ambayo ni ITA : INSTITUTE OF TAX ADMINISTRATION kutokana na tangazo la...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Jaman kwa mwalimu wa sekondari aliye mkoani Rukwa wilaya yoyote anayetaka kuhamia Mtwara nami nije Rukwa,shule niliyopo ipo mjini kabisa! aliye tayari tuwasiliane kwa pm
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari watanzania mimi ni kijana wa miaka 20 nina advance diploma ya IT, nina wazo zuri la kukuza elimu na kuongeza ufaulu katka nchi yetu ninayo proposal tayari sema sima mtu wala kampuni ya...
0 Reactions
0 Replies
956 Views
hii thread ni ya spesho kwa wale waliochaguliwa ifm
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Wadau naomba kujua ada za OUT kwa undergraduates ni sh ngapi kwa mwaka?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wale mlochaguliwa kwenda MUCE hebu coment hapa ili niwaesabu. haya twendee..!
1 Reactions
13 Replies
6K Views
Habari wakuu,vipi hiki chuo mbona kimya kuhusu waliochaguliwa kujiunga na hiki chuo kwa program ya Customs and Tax Management inakuwaje hii iko sawa au ndo hivyo ukilinganisha na Tax Management za...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
wakuu naomben mnijuze kwa anayeifahamu hiyo program ikoje kiajira na mwenye ufaham kuhusu chuo hiki cha st john compus ya Dar mazingira yake na hali ya maisha kwa ujumla
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi equivalents hatuna haki au mkubwa dawaaaa?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kijana mbwiga anatisha ndo wa kwanza kutoa news humu ndani!!,nimekukubali weh.mbaya wao,,ila thnx god niko udsm
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Et kaka yule mtaalam wa mwaka jana aliyetupia mzigo wa UDSM hapa jamvin alikua anaitwa nani?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
kwa wale walio bahatika kupiga mapindi kwa hawa watu.,vp bado wanaendeleza huduma zao maridadi za kielimu?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Unachotakiwa kufanya ni kupiga *150*44# kwa kutumia laini ya airtel.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana jf kwa waliochaguliwa jordan tukutane hapa.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Natamani kuwa mwanasheria lakini nina tatizo la kutetemeka ninapoamua kusimama ili niongee mbele za watu, je nifanyeje kuondokana na tatizo hili?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Salam kwenu wakuu, Ni msichana, alimaliza form 6 2010 combination ya CBG. Matokeo yake hayakuwa mazuri, alipata Div 4 ya 18 ( masomo yote alipata S). Anataka kujiunga na elimu ya juu (degree)...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimejaribu kutazama jina langu ktk waliokosea sijafanikiwa. Sijui ni device yangu au system. Please, nitazamieni, Juma Shabani. Kama wanaanzia jina la pili iwe Shabani Juma. Msaada wenu wadau.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Samahani wandugu, Nina shida na Ramani ya Tanzania inayoonesha wilaya zote na kama ikiwezekana vijiji pia. Asanteni, Daady
0 Reactions
6 Replies
14K Views
Kama ambavyo imeshatolewa post na muhusika mmoja hapa JF,hiyo ndio idadi sahihi ya wanaopaswa kufanya marekebisho hayo na nimepost baada ya kuona ka ubishani fulani hapa jamvini.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Heshima mbele wakuu, nnahitaji print kazi yangu hapa, lakin katika setup zangu kwenye kipengengele cha Header/Footer inagoma kupokea character zaidi ya 250, wakati kuna kazi hapa ina character...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…