Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naona matangazo ya kuongeza elimu, kazi n.k eti GPA sijui above 3.8, wengine 4.0 n.k n.k Sasa swali langu je ni ya chuo gani? kwasababu kuna vyuo unaanza mpaka unamaliza hakuna mtu aliwahi...
3 Reactions
109 Replies
11K Views
Kiyosaki is best known for his book Rich Dad, Poor Dad. Kiyosaki followed with Rich Dad's CASHFLOW Quadrant and Rich Dad's Guide to Investing. He has now had at least a dozen books published...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Naomba kujuzwa gharama ada na mahitaji mengine kwa mwaka 2013/14 kwa mwenye ufadhili wa serikali level ya elimu diploma! Thnx in advance
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Salaam to you all! I would like to know, is it necessary to include where you schooled to your name? Is your professional title part of your name? Look at this: Prof. D.O. Ruttabanzibwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Samahani wadau,baada ya cbe kutema madini kuna changes zozote kwenye "selection status" zenu zaidi ya kuwa processed?na wale wa cbe zenu kwasasa zikoje?nijuze tafadhali.....
2 Reactions
8 Replies
2K Views
habarini wanajamvi kama kuna mtu anayefahamu mawasiliano ya chuo cha afya mombo anisaidie natanguliza na shukrani
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wadau,baada ya rumours nyingi,sasa imebidi niiweke hapa ili wadau mnisaidie.at nasikia kuna degree programmes udom zinatolewa kweny skuli,ambapo hakuna waalimu wowote waliobobea katika fani...
3 Reactions
85 Replies
10K Views
Nimekutana na hiz notes za MA nikaona sio vibaya kushare...ziko poa sana mifano ya kutosha...ESp kwa wale mnaojiandaa na cpa module f..na wale wenye kimeo cha MA...kazi kwako
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu huu mkakati wa big result naona ni kama mzaha kwa walimu kwani wanatakiwa kufanya kazi kubwa kwa ujira mdogo sana. Walimu wanaitwa kwenye semina ya siku tano huku wakilipwa tshs 20000 kwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
wadau habarini za asubuhi natumai mpo salama na mnaendelea vizuri na weekend hii ndefu. Baada ya kumaliza degree yangu ya kwanza miaka mitatu iliyopita nimefikiria kuongeza degree ya pili ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari! wapendwa! naomba mnifahamishe nna dev 3 ya 16 form 6 mwaka 2010 nikaenda college diploma ualimu nimemaliza mwaka huu nna pass ya 2.8 tatizo wananambia sitaweza ingia chuo kikuu...
0 Reactions
13 Replies
12K Views
je kwa wale waliochaguliwa cbe alafu wapo jeshn na wanatakiwa kurpot mwz huu je itakuaje!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KWA UFUPI Aliondoka jana saa sita mchana na ndege ya ‘Airforce One’ kuelekea Washington kupita Senegal. Soma kwa makini sentensi zifuatazo na utoe maoni yako. Inawezekana ufafanuzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimemaliza O'level, mwaka jana ila nikakosa nafasi ya kuendelea na A'level. Hivyo nikaapply Wizara ya Afya bado nangojea majibu yao. Pamoja na kungojea majibu hayo napenda nipate sehemu nyingine(...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
jaman mwenye kufahamu ada ya MBA open university naomba anijuze. natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
896 Views
kwa wale wa udsm tarehe rasmi kwa ajili ya suplimentary ni Tarehe 16/09/2013 na sio tarehe 23/09/2013 kama almanac-udsm inavyoonyesha, kwa hiyo ndugu zangu tujipange kwa mashambulizi ya...
2 Reactions
62 Replies
5K Views
Tafadhali kwa mdau yeyote mwenye idea juu ya guidelines/policy katika kuanzisha na kuendesha shule za awali (kindergarten) hapa nchi anisaidie kunipa muongozo!
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Wanajamii habari zenu, kuna mdau anatafuta matokeo ya mwaka 2002 amesahau namba yake ya mtihani, anaweza yapata wapi? Yuko mbali na shule aliyosomea, je akiingia mtandaoni anaweza kuyapata...
0 Reactions
10 Replies
32K Views
kuna tetesi kuwa ukiingia kwenye a/c yako ya CAS ukiangalia "view my selection status" kuna program code moja kati ya zile tano haijaandikiwa code yake bt inaonekana kati ya zile tano, xa may be...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomben msaada wa title za novels zenye good stories, ziwe in english, nikipata na location ya bookshops ambako zapatikana itakuwa wagada(njema), niko Dar for a while
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…