Helo dear members. Mie ni mhasibu na ndo kwa mara yangu ya kwanza nafanyiwa auditing. Tatizo ni kwamba ofisi yetu ni mpya hafu ndo nilipoanza kazi hapo ile tu nimemaliza chuo. Sasa swali langu ni...
:A S cry:Kwa mujibu wa TCU kesho they gona publish names of students who were not selected during that so called first round of selection ......They are going to lounch:flypig: so called second...
wakuu imekuwa jambo la kawaida kama siyo la kusikitisha kuwa kijana amesoma miaka minne lakini anafeli kwa kutojiandaa vizuri na kudanganywa na haka kajimsemo ...
Natafuta mwalimu wa kabadirisha naye kituo cha kazi.Mimi nipo Halmashauri ya MBINGA,nataka kuhamia ktk moja ya halmashauri hizi kahama,mwanza,kigoma mjini,kasulu,Tabora mjini,uyui.mawasiliano ni...
KWA YEYOTE MWENYE INTEREST NA TANGAZO HILI, SHULE BADO INAKUTANGAZIA OFA KUBWA KABISA (2013/14) YA ADA KWA WOTE WATAKAOPENDA KUSOMA KIDATO CHA 5 - HGL, HGK & HKL PIA KWA WANAOTAKA KUHAMIA KIDATO...
Jamani hali zenu,ndugu zangu mi naomba kujua which is better yani KWENDA KUSOMA MASTERS ALAFU NDO UTAFUTE CPA au UTAFUTE CPA ALAFU NDO UFANYE MASTERS and who are most appreciable huko makazini.....
TCU wametoa idadi hiyo ya majina katika website yao ambapo applicants hawakuchaguliwa kutokana na sababu zilizoelezwa na TCU hivyo watatakiwa kufanya selection upya kwa kufuata maelekezo maalumu...
walimu Tz bwana sijui wanajichukuliaje?nadhani ndio maana hata jamii inawadharau sana,nakuamini nikazi yawalio feli!walipiga piaga kelele oooh!tutaonana mwz wa7,huu sasa unaisha hakuna lolote wala...
Nimefuatilia kwa makini matatizo ya wanafunzi wa Lutheran Junior Seminary na Mzumbe sekondari zote za Morogoro, nimebaini kuwa wanafunzi wana hoja. Migogoro hiyo imetokea kwa vipindi tofauti...
Wadau nimepita leo katika website ya tcu nkaona wametoa majina ya watu ambao hawajachaguliwa na nikaangalia jina langu halipo .. sasa nikienda kwenye profile yangu ya tcu naona selection status...
Hivi karibuni vyuo mbalimbali vimekuwa vikitoa majibu ya maombi ya watu waliochaguliwa kujiunga na kozi mbalimbali za post graduate yaani postgraduate diploma, masters na PHD. Chuo kikuu cha...
Jaman ndugu zangu.
Baada ya leo kupata habar za tcu kutoa majna ya watu waliokosea nimechek tcu profile yangu iko empty!!
yaan namaanisha empty kwenye selection program zangu..
kuna walioniamia...
Je unaweza kusema kiwango cha elimu ya tanzania kinakua kwa haraka...jibu kwangu ni NDIO
1.there have been a 1° schools enrolment at about 94% and 78% for 2°schools in yr 2011-2012-2013
2.thera...
MAELEKEZO MUHIMU:
S/N JINA JINSI
NAMBA YA
MTIHANI TAHASUSI SHULE ALIYOSOMA ANUANI
CHUO
ALIKOPANGWA
1 Â ATHANAZI LUCAS MSILINGWAÂ ME S2213/0505 HK USEVYA BOX 113 SUMBAWANGA SONGEA
2 AARON JOHN ME...