Wakuu wanaJF na wadau wote. Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimepitia upya ada zake za masomo ya uzamili na uzamivu ambazo zinatumika kuanzia mwaka huu (2013/2014) wa masomo. Jambo la kushangaza ni...
wanajamvi,naombeni msaada kwa yeyote aliyetayari kunisomesha form five na six ntashukuru sana kwani mpaka sasa nipo home lakini nilipata div 2.19 PCB please have mercy on me Samaritans
Kuna sms inasambazwa inasema "karudie kurenew mkopo, mwisho tr 31 mwezi huu, mwanzoni mtandao ulikuwa unasumbua. Wajulishe na wengine" hivi hizi taarifa ni kweli? Mwenye uhakika naomba hatusaidie...
Wadau,nawaomba Tujuzane Kwa Wale Wenye Experience,inawezekana Nkasoma Masomo Ya Kidato Cha Tano Na Sita Kwa Mwaka Mmoja Na Nkafaulu Vzur,kwa Alama Za Kujiunga Na Chuo Kikuu??km Inawezekana N Mbinu...
Wajumbe nlikua naulizia kama kuna mtu yoyote aliomba Scholarship ya kwenda kusomea masters au PHD katika vyuo vya china kupitia wizara ya nishati na madini kwa tangazo lao walilolitoa mwezi...
Leo hii nimepokea taarifa kutoka kwa guys mbalimbali wanasema wanafunz wa awamu ya tatu wanapaswa waende jkt next wiki...asa nmekua sielew coz wanasema taarifa wamepata kutoka tbc fm....kama kuna...
Ndugu zangu,
Kwa anayefahamu vizuri, utaratibu wa kufanya hii mitihani ya TOEFL(Test Of English As a Foreign Language) naomba anielekeze katika nukta hizi:-
(i) Kwa hapa Tanzania vituo vya...
Habari ndugu wa hili jukwaa . Tafadhalini tunawakaribisha katika ukurasa wa Elimu Yetu Tanzamia ili kupata michango yenu yenye kujenga na kuona ni jinsi gani tunaweza kufanya sekta yetu ya elimu...
Katuni
Katika toleo letu la jana Julai 25 ukurasa wa tano tulichapisha habari iliyokuwa na kichwa cha habari Wizara ya Elimu yahofia uchakachuaji kidato cha tatu.
Katika habari hiyo Wizara ya...
Naombeni msaada kwa anaejua anambie ni vitabu gani ambavyo natakiwa kuvisoma ili niweze kujua kiingereza? Najua kuna kwenda shule za English course lakini nahitaji hata ni kipata vile vitabu...
Habari wana jf kuna huyu ndugu yangu ameingia form six mwaka huu bahati mbaya alikosa masomo kwa mda kadhaa kutokana na fedha na yupo private school japo alifaulu je ataweza vp kurudia tena form...
Mm ni mhitmu wa kidato cha nne mwaka 2012 nkapata iv ya 30 baada ya marekebsho ikaja vlevle nna "D" za hstr,eng,kisw,geog na bios.Naomba ushaur nifanyeje
Duration: 4 days
Dates: September 17 20, 2013
Price: 300,000 TZS (excluding lunch)
Place: School of Social Sciences (MRL 4)-UDOM-Dodoma
Full information can be obtained from attached pdf...