Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

wakuu ninasikia tetesi za kupandishwa kwa greds za advance ...je suala hilo lina ukweli au ni uzushii?
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Mimi ni mwalimu ninae fundisha seko ndari wilayan mbozi-mbeya natafuta mwalimu wakubadilishana nae kitu chakaz awe anatoka wilayan mbalali-mbeya.NO 0764036606
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vyombo vingi vya habari vilitangaza juu ya shindano la uchoraji kwa taasisi za kielimu. Shindano hilo liliandaliwa na IMAGE PROFESSION ikishirikiana na IMAGE PROFESSION. Mada kuu ilikuwa ni ART...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
nimemaliza udom-2013,Bsc-ed(chemistry&biology),physics pia nafundisha o-level,unashule au college yako nicheki 0763490332..mazungumzo yakiwa mazuri naweka mkataba kabisa...karibu kwamazungumzo!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Elimu bora Tanganyika itatokana na mambo yafuatayo; Mishahara bora kwa walimu Wanafunzi kuwajibika kutetea haki zao za kupata elimu. Walimu kujisimamia kudai haki yao Mazingira bora ya...
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Bandugu,naomba Mwenye joining instruction ya mzumbe sec school,anifaha mishe basic needs. *** msaada wenu utasaidia.***
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Chondechonde waalimu msijewaacha matoto wetu pekeyao,subirini serikali ikusanye kodi kila mahali kabda mtakumbukwa,,wameanza kwenye line za simu,
0 Reactions
14 Replies
11K Views
jamani mwenye kuifahamu hyo shule na details zake jinsi ya kupata join instructions or hata contact za mtu mwenye ukaribu nayo.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
habar za kutwa wadau. Tafadhal naomba mnielekeze namna ya kupata scholarship kwa ajili ya kusoma masters katika chuo cha hapa nchini. yaani nimepata admission mzumbe ila uwezo wa kifedha sina, je...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Naandika habari hii ili kuwasaidia hata wadogo zetu na ndugu zetu wajue uozo uliopo Tumaini University Dar es salaam,ni chuo ambacho kwanza mazingira yake hayafai kuitwa chuo kikuu, mtu ajaribu...
3 Reactions
21 Replies
14K Views
pipo ivi majina ya waliochaguliwa kujiunga na diploma ya ualimu yameshatolewa!?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna dogo amepangwa huko na wanafungua Juma 3, ila mpaka sasa hajapata joining instructions. Naomba kama kuna mtu anawezakuipata anisaidie, au kama kuna mawasiliano yatakayoniwezesha kuipata...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wanajamiforums habar zenu, Naomben kujuzwa kwa anaejua ni tarehe gan mwezi gan wizara ya afya itatoa post wakuu naomben msaada?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WANA JF mkiwa kama wadau wa habari za kuaminika nilikuwa naomba kujuzwa kwamba kama nafasi za kujiunga na JKT au polisi zimetoka kwani viongozi wangu wa kijiji ambao nawategemea wanipe habari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sijui kama ni shule zote lakini baadhi ya shule za msingi za wilaya ya Kilombero hasa zilizopo Ifakara mjini zime anza mkakati wa kutoa matokeo makubwa sasa (Big results now ) kwa kurudia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naombeni anayeifaham hii shule ikoje kama inafaa kwa science, ipo Mbulu, mdogo wangu amepangwa hapo kwa combination ya CBG. Kama kwa science hawapaform tumshauri tu akapige arts.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mdogo wangu, binamu matoto wa aunt amepata D moja tu yaani ana DIV 0 ya 34 cha ajabu kanipigia simu anasoma bachelor of education St Joseph Mbezi Dar es salaam , sikuamini nikampigia simu...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Hivi unaweza mwaka unaofata unaweza omba usome koz nyingine na upate mkopo??
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau ningependa kufahamu uzuri wa kozi hii kuwa ipo marketable halafu unaweza kufanya kazi kama nani ukiacha human resource officer? Asante
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Ongezeka la vyuo vingi vinavyotoa certificates na diploma haswa vilivyo chini ya NACTE vinapunguza ubora wa elimu tanzania.Wanafunzi wengi katika sekondari hawana juhudi binafsi kwa sababu wengi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…