Jamani wanajf nahitaji msaada kwa yule anayeifahamu shule ya ganako high school,mpaka sasa cjapata joining wala cjui iko sehem gan...nisaidieni jamani...nimechoka na maisha ya mtaani.!
naombeni msaada kuna mdogo wangu kapata chuo cha UHADHILI tabora naomba kuuliza kwa wanaojua je hiki chuo ukimaliza Ajira unapata serikalin au magumashi tu, msaada wadau
Wadau! Hamjambo wote? Binamu yangu mwalimu anataka kuhamia Kilimanjaro. Yeye anajiweza sana kwenye combination ya eca na anataka afundishe hayo masomo atakapokuja.
Je ni shule gani za binafsi za...
Jamani mliopata join instruction za maposeni naomba mnisaidie maana niko mbali sana means Tarime maana siku zenyewe za kuripoti zimekaribia sana na bado hatujajipanga kwasababu ya join instruction
Nna ka GPA KA PSPA kadogo ile mbaya sijua hata huko kusaka ajira mtaani itakuaje; i have no regrets at all; and that is my fault but I think the department have its hand over my failure;Wanazngua...
Heshima kwenu wakuu!
Yeyote anayejua chuo cha ualimu mbeya lutheran,
je,bado wanapokea wanafunzi wa cheti?
Kama sivyo chuo gani kingine wanachotoa cheti ukiondoa aggrey ttc?
Na ada zake...
I am kindly asking for anybody who knows where i can request for sponsorship in this course do so for i have tried to go on paying myself but i am worried i might fail to continue paying.Kindly...
Kenyan universities are churning out thousands of half-baked graduates annually because a large number of students have been paying third parties to write their theses, academic reports and...
Mimi ni mwalimu wa level ya shahada niko wilaya ya Tundulu nataka mtu wa kubadilishananae mwalimu kutoka wilaya yeyote kutoka MBEYA tuwasiliana kwa no.0755806477
M ni mwanafunzi nimemaliza certificate ya information Technology na nataka kwendeleaa na Diploma bt kuna hii course inaitwa Business information Technology nasikia nzuriiii naombenii mnshauriii...
Habari za uhakika kutoka kwa Katibu wa CWT, Mwaka huu serikali sikivu imewaongezea Walimu mshahara kwa 8.41%, habari hizi ni uhakika 100%. maumivu kwa walimu kama kawa. Wewe kama Mwalimu pigia kwa...
wandugu naombeni kujuzwa kwa aliewah kusoma au anajua kuhusu POSTGRADUATE DIPLOMA IN EDUCATION pale udsm huwa inatolewa online au ni kawaida? Na malipo yake yakoje?
Education Connect looks to connect African students to study abroad opportunities. Currently Education Connect has an agreement with Marbella University in Spain to recruit students for them...