Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jamani nina mdogo wangu kachaguliwa weruweru kwa anaeifahamu vizuri anisaidie contact number iliwawasiliane amuelekeze mambo kadhaa musaada jamani kuanzia sare na kilaki2 ahsanteni....
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Wana Jamvi, nimekutana na hawa vijana wakimarekani wakifanya debate kwa Kiswahili. Kwa kweli inafurahisha na nina imani ndani ya miaka michache ijayo, Kiswahili kitakuwa kati ya lugha moja...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
anything unachojua
0 Reactions
0 Replies
556 Views
Jaman mwenye kujua anisaidie,,eti maweza pataje scholarship za masters,ndo nmemaliza chuo sina A wala be kwa hya mambo...naomba kusikilizwa tafadhari.....
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, bila shaka mnajua kuwa serikali iliahidi kupunguza kodi kwa wafanyakazi, ingawa ni kidogo ningependa kujua CWT wao wanampango kama huo? Au ndio wanazidi kuwanyonya walimu?
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Wakuu naomba kama kuna mtu anajua basi anijuze maana hali mbaya huku mtaani dada zetu wengine wameshapata ujauzito.. AHSANTENI..!!!!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
tafadhali niambien jins ya kuzpata .na hata namba za cm za mwlimmkuu kama mnazo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
UNAYOYAONA NI MARUDIO,NIMERUDI NIKIOMBA UNISAIDIE NIMALIZE MWAKA WA MWISHO. MUHULA WA KWANZA NI 350,000/: MAWASILIANO NI 0763631449 AU 0789958440 Mimi kwa majina ni Yusuph Peterson kama kuna...
2 Reactions
71 Replies
9K Views
Habarin Wadau,naomba Mnijuze,mm Ni Mwalimu Wa S/m Na Nna Div.three Ya Point 24,je kpi bora kuxoma advance then niendelee mbele au kupita ya mkato kwenda diploma kwa kutumia certificate?na je hzo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
jamani wana jf,tunawashukuru wale wote ambao kwa wakati wote wamekua wakitupa ushauri mzuri kuhusiana na masomo japo si wote tafadhari msituchoke, naomba mtu yeyote mwenye notes za pcb pamoja na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wasomi wa kod,i nielimishe kuhusu kodi za magari chakavu yanayoagizwa kutoka nje ya nchi mara yapoingia bandarini DSM kwa upande wa TRA na TPA hadi gari inaingia barabarani.Elimu hii itanisaidia...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Natanguliza shukrani kwenu wakuu, Ninatafuta chuo/taasisi inayotoa elimu hiyo iwe ni ngazi ya post graduate au masters. Kwa yeyote anayefaham anijuze tafadhari...!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Imetokea mwalimu anayekusimamia research yako yupo busy sana, na muda alioupata leo yupo kwenye kazi maalum hotel fulani kubwa mjini hivyo anakwambia umfuate hotel upeleke research yako...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimejuta maana nimechaguliwa HGL wakat cnauwezo nayo na mkuu wa shule ana kataa kutoa uamisho
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimepata taarifa eti kuna baadh ya fomu za mikopo zimekosewa na hivyo zimerudishwa ili zirekebishwe! Swali langu ni je, hizo fomu zinarudishwa posta au ni majina yanatolewa? halaf nimejaribu...
0 Reactions
0 Replies
983 Views
kwa wale wa galanos., vp kuhusu joining istruction..!!!!!
0 Reactions
13 Replies
2K Views
ni kweli kwamba wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu (wanaotakiwa kuanza mwaka wa kwanza) wanaripoti januari mwakani??
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani nimepangiwa cbg kigonsera huko Ruvuma mi niko Dodoma naombeni msaada wenu kwa wanaifahamu hiyo shule kitaaluma,mazingira na anielekeze nitafika vp
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Habarini wadau! ebana mimi naomba kujua baada ya six kutoka jeshini kwenda vyuoni itakuwa mwezi wa ngapi? je na kwa wale wa diploma wanaotaka kuunga watawasubiria six wamalize au? swali nalouliza...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Naamba msaada wa kupata website wanazofundisha English online for free..nataka kuongeza uwezo wangu wa kuongea fluent English.. KNOWLEDGE IS POWER!..
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…