Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

wakuu mm roho inaniuma xna coz naona necta haikunitendea hak ki ukweli nilixma kwa juhud zangu zote na nilikuwa nashika no 1 tangu form 1 mpaka namaliza shule matokeo ya mock nilipata div 2,na...
0 Reactions
61 Replies
4K Views
Habarini wakuu,naomba kujuzwa kuhusu hali ya shule ya azania (high school) comb.pcm,resources availability,walimu...kuna mtu aliniambia pale hakuna mwalimu wa kemia,je ni kweli....msaada tafadhali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Wanasema kweli kikulacho kinguoni mwako" baada ya kunyonywa kwa mda mrefu na CWT waalimu waanzisha harakati za kujikomboa nchi nzima kwa wewe usienataarifa hebu pitia muhtasali wa barua...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa kupitia jf kutamka wazi kuwa elimu ya udsm ni ya hovyo kwani tulikuwa tukiwaambia elimu ya pale ni hovyo wanabisha hebu angalia,jk lowassa,mwigulu,jairo, walisoma pale ni muda sasa wtz muake
0 Reactions
2 Replies
916 Views
Naomben ushauri wenu kama kuna uwezekano mkubwa wa kufeli kama hujasoma tuition na unchukua pcb au pcm
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa mwana jamiiforum anaefaham St.joseph millenium secondary school ipo kinondoni sehemu gani/mitaa ipi naomba anielekeze
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Jamani dogo amechaguliwa benja PCB,, hiyo shule ipoje??
0 Reactions
9 Replies
6K Views
bachelor of arts with education na bachelor of education in managemant and adm or in guidance and counseling! Tofauti zake
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Habari wadau, naomba kwa yeyote aliyesoma MBA udsm au chuo kingine chochote anisaidie material za kozi zifuatazo: >Quantitative Methods >Organization Theory and Management >Managerial...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shule inayojulikana kwa jina la KAHORORO itafunguliwa lini? Maana nina dogo kachaguliwa huko F5 na joining instruction huenda ikachelewa kufika huku.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
niliomba schoralship kidato cha tano ktk private school mwezi wa nne sasa.... Nilipata III 25 credit nazo tatu ila combination haiku balance...mdau nisomeshe ntakusomeshea mtoto wako pia kama...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari zenu wasomi? Mimi niliwahi kusoma hii elimu ya sekondar ya miaka 2 yaan QT. Nilisoma mwaka 1, nilipofanya mtihan wa form2 majibu yalipotoka nikawa nimafaulu ila nilishindw kuendelea...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
any help about recrystallization????
0 Reactions
0 Replies
585 Views
Tcu mwanzo walinikubalia kozi nilizo apply kua na vigezo lakini leo naangalia nakuta nimewekewa kozi mbili NO kati ya tano nilizo apply
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu zangu wapendwa, nawasalimu kwa adabu na utii.Salamu zangu za dhati ziwafikieni ninyi nyote.Natambua majukumu makubwa yanayowakabili katika kujenga taifa hili changa ambalo limepata uhuru...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
b1 laki 304000, c 432000 d 589000 na e 769000 hapa mgomo wa wlimu haukwepeki
0 Reactions
31 Replies
4K Views
hakuna jkt kwa awamu ya tatu(3) ila tangazo lililokuwepo kwenye web ya jkt ni la kuwapa moyo walioenda jkt awamu ya pili kuamini kuwa wote tutaenda lakini kiukweli hakuna awamu ya 3 kwaiyo chuo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi me napenda munijuze juu ya Nacte or Cisco or Ncc hipi elimu yake hko bora zaidi ya,and soko la ajira or nafasi za kujiajili zipo?please naitaji msaada now.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HOPE UR ALL DOING FINE,, !! SEEKING FOR LEVEL 5 (IV) SOFT COPIES KWA MWENYE NAZO PLEASE NAOMBA NI PM , AU NI EMAIL KWENYE iconkb10@gmail.com email me , iconkb10@gmail.com. thanx and GOD BLESS U ALL
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba ushauri wenu wana JamiiForums. Nina nafasi mbili za kusoma nasijafahamu course ipi ni bora na chuo kipi ni bora katika coure na vyuo vifuatavyo' DIT- Computer Engineering ATC-...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…