Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Hi wana JF, Ningependa kujua tunapoongelea au kusoma historia mara nyingi utakutana na neno mwaka ...... BC. Ningependa kujua ni mwaka upi hiyo BC ilianza? Kwa sababu miaka hii tuliyonayo najua...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wanajf leo nimeshangazwa na kauli ya mwadhiri huyu pamoja na viongozi wa kitaifa na mkoa wa ccm ktk maafali ya wanaohitmu mwaka huu ktk ukumbi wao Lushoto. CKUFURAHIYA KAULI HIZI ZA WAZI ZA KUTAKA...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Ndugu Wana Jf Naombeni Mnisaidie Kwa Matokeo Haya Naweza Kusomea Nini Na Chuo Gani Matokeo Yako Hivi Hist-c Bio-c Geo-d Kisw-d L-c M-f Civ-d Div 4-26 Naombeni Msaada Wenu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
jamani naombeni msaada wa vyuo vya diploma ya clinical officer kwa hapa mbeya na kwingineko
0 Reactions
1 Replies
924 Views
TuKATAE TUKUBALI UGUMU WA HIZI TAALUMa ZA ENGINEERING ,LAW NA MEDICINE HUWEZI KUFANANISHA NA TAALUMA ZA AJABU AJABU KAMA HUMANRESOURCE ,SOCILOGY, MASSCOMM, NDO MAANA NASEMA BACHELOR YA...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
TUPINGE TUKUBALI HIZI DEGREE NDIYO BORA DUNIANI AMBAZO NI 1.LAW 2.ENGINEERING 3.MEDICINE (Ya binadamu na waNyAma) 4.pHAMACY 5.ACCOUNTING&FINANCE 6. ECONOMICS 7.GEOLOGY
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Jamani kwa mjibu wa ratiba ya shule za sekondari Advanced level wiki hii shule zinafunguliwa. Kwa maana hiyo waliokuwa form five mwaka jana wataanza masomo kidato cha sita. Sijui wengine mnafahamu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
wakuu naomba mnijuze hivi labaratory technology na clinical officer ipi iliyobora zaidi katika upatikanaji wa ajira na mshahara wake
0 Reactions
2 Replies
1K Views
CHUO KIKUU CHA TARIME (KURYA UNIVERSITY) COLLEGE OF LIFE kinatangaza nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2013/2014 kwa degree zifuatazo VITA miaka4 KUPIGA MKE miaka 3 UNOAJI PANGA miezi2...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana jf naombeni mnisaidie,kwa vile tcu wamefunga rasmi kupokea maombi,je system inaruhusu kuziarenji upya program nilizo chagua? Msaada jamani
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanafunzi wa Chuo cha Ufundi (Veta) mkoani Dodoma, Taliki Juma, (22) amefariki dunia baada ya kujilipua kwa kutumia mafuta ya petroli na kujeruhi wengine nane. Tukio hilo lilitokea juzi saa...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Hivi hawa N.E.C.T.A wanasubili nini?Au 4m5 mwaka huu hakuna?.Why this jf members?
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Sidhani kwamba "TANZANIA kutokana na kiwango cha Elimu ina uwezo wa kushindana na nchi nyingine za Afrika mashariki e.g Kenya katika soko la pamoja!!"
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kwa haraka ukijaribu kuwatizama walimu utangundua kuwa hawana utayari na kufanya kazi ya kuwafundisha watoto kwa moyo na kwa uzalendo.cha kushangaza walimu wamefikia hatua ya kuweka wazi juu ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
THE PROGRAM The BlackBerry® Scholars Program is a global four-year scholarship program for outstanding women entering their first year of undergraduate study at an accredited college or...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
wananikera sana watu wale ambao kucha wana-discuss habar ya koz wanazosoma.vyuo walvyosoma nk.vjana mlioko chuoni fanyen mambo ya msing yaliyowaweka sio ubora wa sehem unayosoma.kuna watu wamesoma...
0 Reactions
0 Replies
962 Views
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau,Naandika post hii kwa masikitiko makubwa kuhusu shule ya sekondari MARA iliyopo mkoani MARA (Musoma Mjini). Kama mmoja wa ex-students wa shule hii nimebahatika kuitembelea katika kipindi cha...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Katika hali isiyo ya kawaida kwa taarifa nlizonazo ni kuwa ktk selection ilofanyika A.T.C ni kuwa wakuu wa shule walokutana kufanye selection walikuwa 54 tu nikajiuliza je tz kuna shule za advance...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Guys napenda kufahamu,mtu anaweza kuchaguliwa shule za serikali kwa CCD,kwa tahahusi za sayansi hasa ya CBM
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…