Kuna notes za HR nazihitaji kutoka mtandaoni....
Je naweza kupata kupitia link gan ....msaada wenu wanajamii!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Wandugu naombeni mnijuze juu ya hili kwa mtu anaejua, mm nina first degree ambayo sio education lkn nna mpango wa kusoma postgraduate ya education je naweza pata mkopo kutoka bodi ya mikopo? NB...
wakuu naomba mnijuze kwa wale mnaojua hiyo kozi iliyoandikwa juu ambayo inatolewa na open universty of tanzanzania je ukiwa diploMa YA KUTOKA OPEN Je utaweza kujiunga na suA KWA DIGRII ZA MIFUGO
wakuu naomba mnijuze kwa wale mnaojua hiyo kozi iliyoandikwa juu ambayo inatolewa na open universty of tanzanzania je ukiwa diploMa YA KUTOKA OPEN Je utaweza kujiunga na suA KWA KOZI ZA MIFUGO
nawashangaa sana hawa wanaosubir post za kidato cha tana hawajui maisha ya kule ni ugal maharage mwanzo mwisho kwann wasiendelee kula bata kitaa maisha popote bwana
Wadau wa elimu SALAMA ? Sina haja ya kuvilinganisha hivyo vyuo hata kidogo, lakini pana mwanafunzi wa Diploma accntng, anauliza, tunajua wazi kuwa kila kimoja chaweza kuwa bingwa kwenye nyanja...
Jamani hizi taaluma za sheria yaani law ,engineering,medicine,accounting&finance ni ngumu kuliko nyingine mfano ni kwamba unapomaliza shahada ya kwanza ya sheria yaani llb unatakiwa uende tena...
We do not need to be shoemakers to know if our shoes fit, and just as little have we any need to be professionals to acquire knowledge of matters of universal interest.
Georg Wilhelm Friedrich Hegel
daa kwa asilimia kubwa,kuanzia tarehe 5 july hii shule nying za A LEVELS,znafnguliwa hususan kwa wale wanaoingia form 6, only, JE? kwa form 5,waendelee kula bhataaa na vjitwishen vya mtaaan mpaka...