Heshima kwenu wanajukwa! Mimi ni mwalimu by professional,nimemaliza diploma last week katika chuo cha kigurunyembe teachers college kilichopo morogoro!
Masomo yangu ya kufundishia ni Geography...
Habari zenu wana jf kwanza kabisa napenda kuishukuru serikali yetu kwa kutuletea matokeo mapya, kuna wengi wamefurahishwa kutokana na matokeo hayo ikiwemo wanafunzi, wazazi pamoja na...
Baada ya kimya kirefu cha kama miezi miwili hivi hatimaye Necta wameweka matokeo mapya.
baada ya kazi nzuri ya baraza na wizara hatimaye mpwa wangu kapanda daraja kutoka III hadi II ya 21...
Wakuu haiwezekani mtu mwanzo alikuwa na div four ya 30 sasa ana div 1 au div 3 alafu mimi mwanzo nilikuwa na div 4 ya 27 sasa nina 26.sasa wakuu naomba mnipe process za kurudia baadhi ya mitihani...
Samahanini japo kuwa hapa siyo mahali pake, matokeo ya mara ya kwanza nillipata zero yamesahihishwa upya na yametoka leo bado
nimepata zero ileile, siku nzima ya leo sijala asee siamini hata...
wadau kuna bwana mdogo hapa amepata div 4 ya 27 akiwa na D flat na C ya biology,
naomba msaada kwa yeyote anaefaham vyuo vya missions/privates vinavyotoa kozi ya nursing hasa kwa hapa Dar hata...
kwa uhunguzi wangu mdogo wa matokeo haya mapya, umenipa picha fulani baada ya kufuatilia kwa umakini na kugundua kuwa asilimia kubwa ya matokeo yaliyobadirika ni kwa wanafunzi waliosoma masomo ya...
Habari jamvini.
nina mdogo wangu amabe matokeo mapya yametoka ni mmoja wao lakini matokeo yametoka ana Div 4 point 32 na ana D 3 alikuwa anasoma Art kiukweli Mdogo wangu Sijui nimsaidie vipi...
Bado nina imani kila lililotokea kwangu was fate
Kwani kwa haya matokeo mapya yamenipa matumaini makubwa kutoka kwenye IV ya 27 hadi III ya 25 namshukuru mungu
But it is unbalanced combination -...