Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Baada ya kuwa na habari nyingi na tofauti tofauti kwa muda mrefu, leo tunafikia kikomo. Ni kweli kwamba matokeo yana asilimia 99 ya kutoka leo kama ukifuatili historia. Kwa miaka mitatu iliyopita...
1 Reactions
23 Replies
8K Views
Wakuu msaada plz. Kwenye web ya tcu wameandka ni leo tarehe 31 may 2013. Ila kuna tetesi eti wameextend deadline. Kwa aliye na taarifa kamili anijuze.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa uhunguzi wangu mdogo wa matokeo haya mapya, umenipa picha fulani baada ya kufuatilia kwa umakini na kugundua kuwa asilimia kubwa ya matokeo yaliyobadirika ni kwa wanafunzi waliosoma masomo ya...
0 Reactions
0 Replies
847 Views
katika matokeo ya awali ya kidatocha nne kulikuwa na div 1 za single digit 3 nazo zilikuwa ni za point 9 ambazo 2 zilitoka Feza boys na 1 ilitoka Don Bosco seminary ! ila cha kushangaza ni kwamba...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Amani kwenu! Tunafahamu kuwa matokeo (version 2) ya hawa Form Four yametoka. Nashauri popote pale tutakapowaona tuwahimize sasa wachangamke na hatua zinazofuata bila kupoteza muda. Ninamaanisha...
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Alikuwa t.o matokeo ya 2012 ni nani naombeni kujuzwa pia na shule ya kwanza
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama umetia 4 ya 26 alafu kama una C mbili katika comb uliochagua first basi tuombe mungu katika selection NA tujiandae kupigamapindi mfano ulichagua pcb mwanzo alafu chem c bio c na phy d...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jf...! Wakuu napenda kufahamu taarifa za Matokeo mapya ya mwanaJF mwenzetu Isaack Newton, Kama mna kumbukumbu nzuri wote mtakubaliana na mmi kuwa ni vyema sasa tukapata fedback ya matokeo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Serekali ya tanzania inatarajiwa kutangaza matokeo mapya ya kidato cha nne siku ya Ijumaa. Hayo yame semwa na wazir wa elimu wakati aki hojiwa katika kipi cha kume pamba zuka cha radio 1 pia wazr...
3 Reactions
13 Replies
14K Views
Wadau naomba msaada nina principle mbili za vyeti tofauti yaani moja ya kurisiti zote ni E. nimejaribu kuaply kupitia tcu lakini system inasema sina principle za kutosha, sasa je naweza kusoma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nimemuona waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kwenye Panel na Mabalozi.
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Kwa yule mwenye information kuhusiana na mafunzo ya ualimu Je kiwango gani kinatakika kwa mtu aliyemaliza kidato cha nne? Nauliza nikimaanisha both government institution na private institution...
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Habari wanaJf, leo nimecheka sana baada ya kukutana na ujumbe wa kijana aliyewasaidia form four kureverse matokeo mwaka huu2013. Anajitapa eti amehakikisha badala ya Form Four Failures kuresit...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu imewaomba wanafunzi waliohitimu kidato cha sita watume maombi yao ya kuomba mikopo hata kabla ya matokeo ya mitihani yao. Bodi imesisitiza kuwa mwisho wa kutuma...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Hata kama serikali ikibadlisha sera za elimu kila saa ,kama hawatakubali kuwa mwalimu ni mtu muhimu na anastahili mazingira bora na maslahi bora ,tutaendelea kujiuliza maswali mengi kwa nini elimu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
WAKUU kuna tetesi matokeo ya kidato cha nn4 kutangazwa leo mchana, pia inasemekana yatakua na kiwango cha ufaulu kikubwa kulinganisha na mwaka uliopita, tukae mkao wa kula ubwabwa leo hiiiiiiiiii..
0 Reactions
60 Replies
8K Views
kama ulisoma shule za mfagio na kidumu cha maji utakuwa si mgeni na; -Awafu mwenye nguvu -Pamela na kipini -Siku ya gulio -Tola alia gizani -Watoto wageuka mawe -Mkutano wa wanyama -Nani...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu naomba msaada wenu kwa watu wanaojua process zote za kuomba mikopo katika bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa sababu ninatatizwa na kitu kimoja ambacho n kwamba unapomaliza kuijaza form hiyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
A man was killed on Sunday morning. His wife found the body and called the police. The police arrived and questioned the chef, maid, butler, and gardener. Their alibis were: Chef - making...
0 Reactions
3 Replies
715 Views
Cha kushangaza ndugu watanzania hamuwezi kuami kwamba serikali inayoongozwa na CCM ina shule moja tu ya kufundishia wanafunzi wenye ulemavu wa kusika, iitwayo kigwe iliyoko wilaya ya bahi mkoa wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…