Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu. Baada ya kuwasikiliza waziri na wahusika wa Bodi ya mikopo kuhusu hili swala la ku-apply mkopo kabla ya matokeo, kijana wa watu nikawa mpole...
Leo ndugu wanajamvi nimeonelea niwaletee maelezo kidogo kuhusu pesa tunazochangia kununua umeme, na hasa kwa wale tunaoishi katika nyumba za kupanga.
Labda nianze na umeme tunaonunua toka tanesco...
Kutokana na habari nyingi kuhusu matokeo kidato cha nne mi naona kwamba yalikuwa yatoke jumatatu mara jumatano mara leo alhamisi mi ninalohoji ni moja tu hizi habar mnazipata wapi mbona umma wa...
"Naambiwa kuwa Mbeya pekee, kuna madhehebu ya dini zaidi ya 280, kuna eneo idadi ya makanisa ni sawa na idadi ya wakazi wa eneo hilo, lakini Mbeya, watu wanachunana ngozi, Mbeya hiyo hiyo...
jamani hotuba ya wizara ya ulinzi inasema form six 2013 wote waliobaki wataenda jkt miezi mitatu mitatu na wakasema kwa maelezo zaidi angalia kiambata no 5! msaada mwenye kujua hicho kina maelezo...
NImepokea Barua leo from Loan Board inayonitaka kuanza kulipa mkopo walionipa.Nakumbuka wakati issue ya mkopo inaanzishwa sisi ndo tulikuwa mwaka wa mwisho so ikawa ni favour kwa wote..sio hii ya...
Habari za kuaminika kutoka kwa ndugu wa karibu wa mh naibu wazir anayeshughulikia maswala ya elimu hapa nchini kwa sasa kuwa national examination results kwa matokeo yaliyofutwa yanatarajia...
wanafunzi wa kdato cha 4 waloftiwa matokeo yao watarudishiwa fedha zao walzotumia as application fee ktka fan mblmbal za afya?zsiporudshwa znaenda wap?au watapewa 2nd chance ya kuapply kwa ktumia...
Kila nikiweka namba yangu ya form four naambiwa index number ni invalid amnimehakikisha majina ya cheti na niliyoandoka bado inanisumbua and dedline kesho kutwa anaefahamu naomba msaada
wale walioapply application kwenda kwa wizara ya afya na ustawi wa jamii wametoa NAFASI ZA MASOMO KWA WALIOCHAGULIWA
kujiunga na vyuo.
Tembelea "www.moh.go.tz"
Haya jamani wale mliomaliza form six wenzangu!,mliokuwa mnadai matokeo hayoo,wiki ijayo ndo wiki ya matokeo.tetesi za tangu 23 april kuwa masomo fulani yamefanya vibaya utajulikana wiki ijayo.
naamini hakuna kiumbe chochote kilicho perfect 100% ila MUNGU pekee.. kwa hili baraza la mtihani Tanzania (NECTA) wameamua kutuongezea utata.. sidhani na sitaamini kama kuna ukweli katika hizi...
Kwa wale waloanzisha thread kuwa matokeo ni jumatatu mara jumatano na swaga za mfagizi wa mheshimiwa{thread imefutwa na mods kwa sababu za kimaadili ya kazi} haya sasa leo ndo leo tunawasubiri na...
Nachukizwa mtu ameandika kicha cha news yake ambacho hakiendani na main body,juu cha news sentensi ukiingia kwenye body unakuta swali yaan vitu viwili tofauti,napenda jf ila siku hadi siku...
Kufuatia kuboreshwa kwa matokeo ya CSEE 2012, matokeo hayo yatakuwa mazuri zaidi ya yale ya kwanza na kwamba hakuna mwanafunz atakaeshuka ufaulu na hili ndilo linalonipa wasiwasi.
Mimi kama msomi...
Serikali yafuta kinyemela mtihani somo la Islamic
Na Mwandishi Wetu
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imepitisha uamuzi wa kutotahini tena mtihani wa somo la Dini kuanzia mwaka huu. Katika...