Habari wana Jf samahanini wa mjengo,naomba msaada kwa anayefahamu zaidi juu ya namna ya kujiunga na MZUMBE University kwa faculty ya Public Health Management ukiwa na kozi yoyote ya afya hasa kwa...
Binafsi nina maswali mengi sana najiuliza kichwani mwangu cpati majibu kwanza kabisa ni kuhusu matokeo ya kidato cha nne mwaka 2012 serikali imeamuru matokeo ya kidato cha nne yafutwe wakati...
HABARI ZA LEO WANA JAMVI,
Ni mara yangu ya kwanza kuja katika jukwaa hili la elimu hapa JF kuomba msaada, mm nimemaliza kidato cha nne mwaka 1996, nikabahatika kusoma IIT mambo ya Computer...
Mwaka jana nilishangaa ilipoanzishwa comb wpya ya CBM.
Nilishangaa kwa sababu zifuatazo;
1. Muhimbili hawataki mtu anbaye hajafaulu physics hivyo kusoma CBM kunakuondoa sekta ya afya
2...
Imedhihirika kuwa kuna sintofahamu nyingi katika balaza la mtihani la taifa kutokana na kutupiwa macho mengi na wanasiasa pamoja na wadau mbalimbali wa elimu. Hii ni sababu kubwa ya wao kuchelewa...
There is a Need
Does school prepare children for the real world? "Study hard and get good grades and you will find a high-paying job with great benefits," my parents used to say. Their goal in...
Hivi matokeo wanayarekebisha sasa kwa wale ambao tulikua tunataka kuomba ualimu inakuaje? Maana tarehe 10/5 ndio ilikua mwisho wa kutuma maombi,mwenye uelewa naomba anijibu.asanteni!
Katika kile ambacho kinaitwa standardazation ya results mwaka 2012-form 4,mimi naweza kuthubutu kusema kuwa wao ndio ambao wamekariri mtihani upya...baada ya serikali kutaka matokeo yapangwe na...
Matokeo ya Kidato Cha sita waliomaliza mitihani yao mwezi februari mwaka huu,Yanatarajiwa kutolewa rasmi kesho kwa Mujibu wa taarifa zilizotufikia toka chanzo chetu cha habari Kutoka Baraza la...
mimi nilimaliza form 4 mwaka jana na nlipata division 4 ya 31.. nlipata D 4 katika masomo ya History,civics,kiswahil na english.. sasa kaka/dada zangu naombeni ushauri wenu nkasomee kozi gani...
Habari ndugu zangu, kuna jamaa yangu alinunua vocha kwa ajili ya kuomba usajili TCU, ghafla amepata matatizo hivyo ameshindwa kutuma maombi, Tunaomba msaada kwa anayetaka KUTUMA maombi kupitia...