Kwa wale wenye info zaidi kuhusu kutorudiwa kwa matokeo na juu ya mgogoro uliopo kati ya necta na wizara kuhusu kutoendelea kwa kazi ya ku-upgrade tunaomba ushirikiano tafadhali
Nimetafakari na kuchunguza na mwisho nimebaini zifuatazo ni athari za uchakataji upya wa matokeo ya kidato cha IV 2012.
Mosi Baraza la mitihani litatakiwa lirudishe gharama zote zilizotumika na...
SWALI KWA BUSINESS ADMINSTRATOR, FINANCE MANAGERS, CONSULTANTS, ACCOUNTANTS, ECONOMIST,
Kampuni inafanya biashara ya trading(kuuza na kununua) iko kariakoo,
mapato yake as per accounts ni...
Jamani, nimeona tangazo somewhere kwamba maombi kwa ajili ya kujiunga na vyuo vikuu yameshaanza kutumwa kupitia kwenye website ya TCU. Lakini kinachonishangaza ni kwamba ni kama wiki sasa hiyo...
Jamani wasomi wenzangu naomba mnisaidie nasikia kuwa marks za A-level zimepandishwa na sina uhakika kama ni kweli.Grade zenyewe ni hizi hapa:
0-39=F
40-44=S
45-54=E
55-64=D
65-74=C
75-79=B
80-100=A
Baada ya kumalizika Mitihani ya CPA, Musasira ametangaza course ya IFRS kwa wadau Kama ifuatavyo:
Dear Stakeholder,
This is to inform you that, APT FINANCIAL CONSULTANTS will be conducting...
Habari wana JF, kwenye kampuni wetu tunadili na watu wa nchi nyingi tofauti tofauti lugha kubwa inayotumika ni kiingereza, nagombana na bosi kila siku kuhusu uongeaji wangu anadai sieleweki tatizo...
Ndugu zangu wataalam mbalimbali naombeni mnisaidie notes juu ya tittle hiyo juu ili niandika propasal.Nitumiena hata pamphlets na vitabu mbalimbali vyenye natisi za vita ya Kagera. Natanguliza...
Mkurugenzi wa Halmashauri (W) ya Bagamoyo pamoja na wadau wengine wa Wilaya ya Bagamoyo wanakazi kubwa katika kuinusuru elimu ya wilaya ya Bagamoyo ili isishuke.
Kuna sababu nyingi zinazopelekea...
Pata short notes za masomo mbalimbali pamoja na links za site mbalimbali zenye manufaa kielimu.Vilevile humu unaweza ukafanya online discussions na wanafunzi kutoka sehemu mbalimbali...
Wakuu hili jambo la ajabu sana kwa taasisi inayojinadi kwamba inatoa elimu fulani halafu inademonstrate kiwango kibovu kabisa kwenye taaluma hiyo hiyo.
VETA wanaendesha kozi za Web Designing na...
Nd. Philemoni Luhanjo ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa baraza la Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine.
Hilo lilikuwa ni tangazo la makamu mkuu wa chuo hicho.
Ni aibu kwa siasa za nchi hii na uongozi...
ni jambo la kusikitisha na kuhuzunisha kuona elimu yetu ambayo ilijengewa misingi bora na imara sasa inaangamia. Ikumbukwe kuwa mwalimu julius kambarage aliifanya elimu ya tanzania kuonekana nzuri...
TAFAKARI KWA MAKINI
Hawa ni wanafunzi wa shule mojawapo ya msingi hapa nchini Tanzania.
Wanafunzi wamekaa sakafuni, je kwa mazingira haya tutafika kweli?
Je watoto wetu watapenda kwenda shule...
MADARAJA MAPYA KWA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE:
Serikali kwa kupitia wizara ya elimu imefanya mabadiliko kwenye madaraja ya alama za mitihani ya kidato cha nne. Hapo awali, madaraja yalikuwa ni...
KWA MAANA UBORESHAJI WA ELIMU HAJABORESHA SASA WANAFIKIRI KUWA KIWANGO CHA ELIMU NCHINI KITAONGEZEKAAAAAAAAAA....???? HUU NI UMBULULAAA
CJUITUNAELEKEA WAPI ITAFIKA KIPINDI NITA JIKANA MIM CIO...