Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kwa yeyote anayefahamu jinsi ya ku apply vyuo vya nje na jinsi ya kupata sponsors naomba anisaidie,email yangu ni kmazugwa@yahoo.com
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Kesho paper za CPA zinaanza nawatakia kila la kheri wote watakaofanya mitihani hiyo.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani naomba masaada eti kwa waliomba mkopo mwaka jana zn akakosa je mwaka huu unaomba kama continue au kama first aplicant?
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Husika na kichwa cha habari. Naomba kuuliza hv mwajiri wa walimu ni nani? Je ni TAMISEMI,?? MKURUGENZI WA HALMASHAURI? WIZARA YA ElIMU??? TSD(teachers servise department)?? Au Ofisi ya utumishi...
0 Reactions
52 Replies
10K Views
Wadau mtakumbuka mwezi Agosti. wakati wa bajeti ya Wizara ya Elimu Mh Waziri alimtambulisha kamishna mpya wa Wizara hiyo Prof Bhalalusesa, hivi huyu mama ameshaanza kazi rasmi na je katika hili la...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
SHULE YA ITENDE SEKONDARI ILIYOPO MBEYA, INATANGAZA NAFASI ZA KUHAMIA KIDATO CHA 6, MWAKA WA MASOMO 2013/14- ADA PUNGUFU SANA (KIDATO CHA 6 TU) SH. 250,000 KWA WANAFUNZI WA KUTWA ADA YA KUTWA...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nathubutu kusema kuwa matokeo ya kidato cha 4 yaliyotangazwa awali na NECTA kupitia kwa waziri wa elimu Dk. Kawambwa ndiyo matokeo sahihi kwa wanaopenda maendeleo ya elimu hapa nchini...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Wakati taifa linaelea juu juu kwa matokeo ya Kidato cha 4 ya mwaka 2012 nilitegemea Mwenyekiti huyu wa bodi ya NECTA aseme lolote but sijamsikia akiongea lolote au ndo bora liende? Wewe ni msomi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kwa tetesi za haraka ila msininukuu kutoka mamlaka husika nayo pia yachakachuliwa tena kuongeza haja za wanasiasa kama kinachotokea kidato cha nne sasa.mwenye fununu hembu funguka
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za wakati huu. Jaman me nimesoma communty development nmejarbu kwa uwezo wangu kulpa ada mpaka nmehtimu kiwango cha certificat.ila bado nmebakiza 250,000/=ambazo zmesababisha kunyimwa chet...
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Kwa taarifa nilizopata kuna jamaa wanajiita Amana Global wapo maeneo ya makumbusho sokoni wana kiofisi ndani ya soko.Sasa kuna utapeli wanawafanyie vijana wetu wanaosoma chuo,hasa ardhi na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
My student asked me this question "Does the artificial satellite launched above the earth's surface for communication use fuel? If yes, how it is filled & after how long? if not how it engine work...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Yahusu pesa ya Special Faculty kwa mwaka wa pili na mwaka wa tatu. Inakuwaje pesa imeletwa chuoni tokea mwaka jana mwezi wa sita hadi sasa pesa ipo mikononi mwao. Na mwaka jana wakati wanafunzi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wanajukwaa,mara nyingi nimeona watu mbalimbali wanapokwama katika jambo lolote hili jukwaa limekuwa msaada mkuwa sana na mimi pia ni shaidi ktk hilo,kwa mara nyingine naomba msaada au muongozo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnijuze shule za private mikoa ya kaskazini hususani mikoa ya ARUSHA KILiMANJARO naTANGA zenye mchepua wa pcb au cbg.naombeni mnijuze wakuu
0 Reactions
4 Replies
4K Views
guys mkopo mwaka jana niliapply nikakosa nategemea kuingia 2nd year je nifanye nini
0 Reactions
4 Replies
1K Views
<strong><span style="color:#000000;">Kutokana na kadhia na aibu kubwa ambayo Taaifa la Tanzania limeipata katika macho ya ulimwengu kwa kuutangazia umma kuwa zaidi ya wanafunzi wake waliohitimu...
0 Reactions
2 Replies
945 Views
Jamani wana jamvi, nahitaji tuition ya form six kwa masomo ya HGE hapa Dar es Salaam inapatikana wapi. Nahitaji kwa muhula huu wa likizo ya mwezi June.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wadau wa elimu nchini Tanzania wanahoji ni kwanini matokeo ya kidato cha sita yamechelewa?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi kwanini tusijiulize swali dogo na jepesi kama hili "kwanini matokeo yachelewe kutoka mwaka huu???"Ni hivi kwanza kurudia upya kwa usahihishaji wa matokeo ya kidato cha nne na upangaji upya wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…