Ni vizuri kamati ya bunge ikawa inayapitia matokeo yoyote yanayotayalishwa na NECTA Ili bunge likiona haijaridhishwa na matokeo basi irudishe tena baraza la mitihani na mapendekezo kuwa kuwe na...
Wanajamii waliokuwa wanasubiri matokeo ya kidato cha sita, sasa yako hewani.Tembelea tovuti ya Baraza la Mitihani. The National Examinations Council of Tanzania
Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa tatizo la kuporomoka kwa ubora wa Elimu linasabishwa na mfumo mbovu wa ukaguzi. Akiongea na Wakuu na wamiliki wa shule na vyuo binafsi jijini mbeya, Raisi...
Baada ya Serikali kutoa kauli kuhusu mtihani wa Taifa wa kidato cha nne mwaka jana, Mbunge James Mbatia (NCCR-Mageuzi), ametaka Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa, awajibike...
Ndugu Wadau wa Elimu ya Tanzania,
Soma Taarifa ya Waziri Lukuvi aliyoiwasilisha Bungeni,
Mojawapo ya pendekezo ni kufutwa kwa matokeo ya kidato cha nne(4)2012,
Na kupendekeza mitihani...
awali ya yote polen kwa mihangaiko!
Naomba kujua yafuatayo kuhusu vyuo cha Veta
a]kwel ajira zake zipo?
b] je, wanatoa diploma? Na kama wanatoa kwa qualification zip?
c]je, ni kozi gani...
Heshima mbele wana JF...Nina mpwa wangu wa kike ( 12 years old ) anahitimu darasa la saba mwaka huu..Ninaomba mnisaidie kujua mambo makuu mawili yafuatayo ; MOSI : Nina...
Wadau wa Elimu ule mradi wa mabasi ya wanafunzi umeishia wapi? Nakumbuka CRDB walitoa mabasi matano yenye thamani ya 500 milion ikiwa ni maalum kuwasaidia wanafunzi wa Jijini Dar es salaam...
Baada ya matokeo ya kidato cha nne kupangwa upya waliomaliza f6 wameachwa matatani kwa kua hawajui sasa itakuaje matokeo yao kwasababu Necta wanbidi wa pige kazi even 24 hrs kutoa hayo matokeo...
Jamani nimelipia fresh heslb pesa yao kwa m-pesa na nimepata zile code . .
tatizo kila nikijaza ile form yao ya online wananiambia hii mesej "the index number you have entered is NOT VALID or you...
Watanzania wenzangu Serikali imetanganza kufuta matokeo yote ya kidato cha nne na kusahhisha upya
Binafsi sioni kama ndio dawa ya tatizo hilo!! Serikali ingeweza kuwafanya watahiniwa warudie tena...
Wakuu nina rafiki yangu nimemeliza nae kidata cha nne 2012 ila yeye kapiga div four ya 27 na katika kuchagua michepuo ya kwanza kaanza pcb na ya pili cbg na katika masomo hayo jamaa kascore phy d...
Hivi ni kwa nini wizara ya elimu isingekuwa inapanga mda rasmi au tarehe maalum ya kutangaza matokeo huwa nashangaa sana kusikia matokeo yanachukua mda mrefu bila kutangazwa ilihali usahishaji...
Wadau nisaidieni tume launch campaign ya kutoa elimu kwa sex commercial workers katika mikoa yote. Tatizo tunalokabiliana nalo ni kuwa locate hawa wahusika ambao ni hawa dada poa katika mikoa...
Hivi waugwana ni haki kweli kwamba aliye katika ajira hana haki ya kupata mkopo wa elimu ya juu kwa mshahara wa kima cha chini ikiwa ada ya chuo kwa mwaka inazidi hata mshahara wake wa mwaka mzima...
Nilipokosa mkopo heslb nilijua kabisa HLSSF ndo suluhisho langu nika aplay na kutumia gharama nyingi
wakatoa ahadi kwa wote ambao waliokuwa wameomba mikopo kwenye hii taasisi wangepata fedha hiyo...
Kila kukicha elimu Tanzania inaporomoka, hizi hapa ni mojawapo ya sababu:
1. Serikali kutokuwa na sera madhubuti ya elimu
2. Elimu kuingiliwa na wanasiasa mfano Mh. Kikwete kufuta mtihani wa...