Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Baada ya wanafunzi kufeli na ukikumbuka hii hotuba, una maoni gani kuhusu hii hotuba ya Mwigulu Nchemba. Tafadhali: Usiingize Siasa kwa sababu hili ni jukwaa la ELIMU.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Watoto wa shule za msingi za Serikali hususani katika Wilaya ya Temeke wamekuwa wakikosa masomo kama inavyotakiwa.Watoto hao mameku wakishinda uwanja wa Taifa kwa takribani wiki mbili sasa kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Professa Mosha amesha anza kutoa mchango wake na ameanza na migogoro. 1. Matokeo ya K4 mwaka jana. 2. Kuporomoka kwa matokeo 3. Mgogoro kuhusiana na alimu inayo tolewa kila ngazi. 4...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bweni watoto wa kiume, kidato cha kwanza katika shule ya Wazo Hill secondary limewaka moto. Hadi naingia jf, hakuna taarifa za majeruhi wala kifo, watoto wote wako salama. Kikubwa wamepoteza...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
DAAD Master DAAD (German Academic Exchange Service) is funding Master’s Scholarships in Public Policy and Good Governance at German institution in Germany. A monthly scholarship rate of currently...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, nimejaribu kuangalia kwenye website ya Open University, sijaona tangazo la Masomo la mwaka 2013/14 na nataka kujiunga na chuo hicho kusoma mojawapo ya course hizi kwa ngazi ya bachelor...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajf,inasemekana kwamba walimu wapya waliojariwa hivi karibuni serikali inasuasua katika suala zima la kuwalipa mishahara yao. Ina maana serikali haikujipanga kwa hili?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanajamii, Kuna mtu yoyote alieitwa katika zile scholarships zilizotolewa na Serikali ya china katika wizara ya Nishati na Madini,kwa alieitwa naomba tufahamishane mana washawafahamisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu habari za hasubuhi Naomba mdau mwenye kuweza kunipatia hiyo software ani PM, niweze kumtafuta nahiitaji ndugu wadau kwa minajili ya mazoezi binafsi, Natanguliza shukrani za dhati
0 Reactions
2 Replies
1K Views
fungua link hii subiria sekunde tano sababu wame-ishrink afu bonyeza SKIP AD juu kulia afu ikifunguka kuna file la pdf kb 60 ambayo ni barua kuelezea hivyo vyuo SOURCE BARUA YENYEWE...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wadau natafuta kitabu cha tcu , kile chenye orodha ya vyuo na masomo yanatolewa kwenye kila chuo. nimetembelea Home - Tanzania Commission for Universities lakini nimeshindwa kujua ni link gani...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Elimu yangu std 7.nataka kujiendeleza lakini muda sina je naweza kusoma kwa posta?Kama kuna mtu ana hata anuani ninakoweza kupata elimu hiyo anisaidie.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
CHUO KIKUU CHA TUMAINI (KURASIN) kilicho chini ya KANISA LA KILUTHERI baada ya kupiga marufuku suruali kwa wanachuo wa kike na baadhi ya mavazi kwa wanaume DEAN atengua rasmi katazo hilo...sasa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Chini ya picha ya mkandala kwenye welcoming note ya vice chancelor kuna matangazo ya porns
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimekua nitembelea shule za msingiWilaya ya Songea vijijini na kugundua kuwa shule zote zonazotoa chkula cha mchana zina mahudhurio mazuri ya wanafunzi na pia wanafunzi wake wanautayari mkubwa wa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
kwa wanao kifaamu hiki chuo. kinatoa coz gan kwa ngazi ya cheti na diploma kwa mwaka 2013/2014 Msaada wenu wakuu.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hivi kati ya Tourism and Tour Guide,Social Work,Human Resources na Industrial Relation kozi ipi ni nzuri na ipo kwenye soko la ajira.... Nisaidieni jamani kabla sijaamua vibayaaa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau kati ya hizo course mbili ipi ni bora katika soko la ajira la tanzania au yoyote anayejua business course nzuri ktk ajira aniambie,asteni wakuu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
HABARI WANAJUKWAA. Kwa wale wanafunzi mliopo vyuo vikuu kuna ustaarabu ambao umeenea kwakasi kubwa sana katika miaka ya karibu ukilinganisha na wakati wa miaka iliyopita. Wanafunzi kama...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…