Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

huyu ndiye nabii mchungaji josephat mungira wa kanisa efatha la mwenge matokeo ya shule yake ni division one-o,division two-2,division 3-2,divison 1v--121 na zero--157
0 Reactions
31 Replies
14K Views
Habar wakuu, ni tetesi ambazo nilipata juz kutoka kwa classmate wangu Evaristo Nyondo tuliomaliza nae Pugu boyz '07 kwamba mwalimu mtaalam Wa Advanced maths amefariki dunia toka juzi,ndo natafuta...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ikiwa walimu hawakubaliani na matokeo haya kuendelea kukaa ma offcen tafsri yake ni nini? Je wana kubaliana na matokeo haya? I kiwa wana mgomo baridi hasara ya wanafunzi wanao chora mazombi ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wadau mwenye list ya top ten shule zilizofanya vizuri mwaka huu anisaidie
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana jamvi. Nina ndugu yangu ambaye ni muhanga wa matokeo ya Kidato cha nne ya mwaka huu ambayo yameundiwa tume na Mheshimiwa Pinda ili kuwapa watu ulaji. Ndugu yangu huyu amepata D...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kama waalimu wangepewa motisha hata ya maneno,yawezekana Wanafunzi Kidato cha 4 wangefaulu. Sasahivi hakuna Mwalimu mwenye hamu ya kufundisha.Unamkorofisha Mama-halafu unasubiri chakula cha...
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Naombeni munisaidie jamani,nina msichana wangu nimemchumbia sasa nataka kumuendeleza kielimu yeye alihitimu kidato cha nne mwaka 2007 matokeo yake ni div 4 ya 27.sasa sijajua nianzie wapi kutafuta...
0 Reactions
2 Replies
849 Views
SERIKALI NUNUA KIWANJA KIDOGO CHENYE RUTUBA KULIKO KIKUBWA KISICHO NA RUTUBA KWANI GHARAMA HUTOIWEZA. Wajomba nami leo wacha nimwage cheche zangu kwa hili serikali imekosea ila siilaumu ijipange...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wajomba nami leo wacha nimwage cheche zangu kwa hili serikali imekosea ila siilaumu ijipange upya tuu ndo kuangalia “nini chanzo”. Ninasikitika sana lakini kwa sababu haina jinsi inabidi nikubali...
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Crack d below question .. Mr. Ryan went to the Market with his Dog.. He rode on a horse to the Market, Yet Walked... The horse's name was victory and dog was from south africa.... What is the...
3 Reactions
17 Replies
13K Views
Shule ya Itende High School, jijini Mbeya ina tangaza nafasi kwa AJILI ya wanaohitaji KUSOMA F.5, 2013 na WALE WANAOHITAJI KURUDIA KUSOMA ILI KURUDIA MITIHANI YAO YA KIDATO CHA NNE. Tumeanza...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
UKISTAAJABU YA MUSA UTASIKIA YA KAWAMBWA! Nasikitishwa sana tena sana na kauli za viongozi wan chi hii.Dr Kawambwa amenukuliwa akijitetea kwamba TATIZO la wanafunzi KUFELI mitihani yao ni kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
-- - -Mi naona sio halali kuoainisha matokeo ya mitihani baina ya shule za KATA (vijijini) na zili za mjini ambazo zimesheheni -walimu na vifaa vyakufundishia. Mfano shule "A" imekuwa ya 10 kati...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
CONTINENT RANK UNIVERSITY COUNTRY WORLD RANK 1 University of Cape Town 405 2 University of Pretoria 509 3 Stellenbosch University 555 4 University of the...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
habari zenu wana jf, naamini kabisa hapa ni mahali salama na pa kistaarabu kuuliza jambo hili,naomba mwenye taarifa anijulishe serikali imefikia wapi kuhusu mchakato wa kuwapatia ajira walimu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naomba nisadieni majina ya radio na gazeti la Kwanza Tanzania katika kipindi cha ukoloni
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Nasema tatizo kubwa ni serikali na sio wanafunzi,walimu,walezi na wazazi tatizo kubwa sana ni serikali hii ya Ccm ambayo ndio imetukisha hapa tulipo nasema hivyo ili tuelewane nafahamu kuna watu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Haya ni mfano tu, 1.Mangifera indika-Mango tree 2.Carica papaya- Pawpaw 3.Manihot esculenta- Cassava 4. Endelea ........... Biologist leteni mengine maana ilikuwa kazi kuyaelewa!
1 Reactions
72 Replies
7K Views
Matokeo ya kidato cha nne 2012 yametoka hivi karibuni na yameleta gumzo miongoni mwa jamii ya ndani na nje ya Tanzania kutokana na namna wanafunzi walivyofeli. Achilia mbali kufeli, wanafunzi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mmeyasubiri kwa hamu tayari wamewaleteeni tuambien ufaulu wenu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…