Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Leo Tuongee Asubuhi Star TV mada ni mustakabali wa Elimu. Uchambuzi unafanyika kuhusu maendeleo ya Elimu, mwalikwa (Mwl. Chacha) anaonekana kiasi kupingana na makala ya Bw. Kitila Mkumbo ya hivi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau natarajia kumaliza diploma ya procurement mwakani ila nahitaji kuendelea na bachelor je inawezekana au mpaka mwaka mmoja upite?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Wengi mtakumbuka ukifika form one unakutana na kiingeleza masomo yote, wakati ule shule zote zilikuwa kayumba format, kwa hiyo tulipata tabu sana hasa tuliochomokea vijijini kujua lugha...
10 Reactions
126 Replies
19K Views
Tanzania imetoa nafasi mbili kwa mwaka huu, UDSM nafasi ya 6 na Hubert Kairuki ya 98. South Africa bado ipo kileleni kwa kutoa vyuo 6 kati ya 10 za kwanza. http://www.4icu.org/topAfrica/
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ukisikia mtu anahema kwa kutwita kama yupo mpirani,na ana woga kama kuku anaetaka kuchinjwa ujue NECTA wame fichua siri ya matokeo.ivi karibuni tu watu watazimia,wengine watafurahia,wengine uzuni...
1 Reactions
22 Replies
13K Views
Jamani kuna chuo kinaitwa TANZANIA AVIATION UNIVERSITY COLLEGE kipo Tabata mnakizungumziaje? Vigogo na baadhi ya binadamu wasiokuwa na huruma wanakula pesa za bure za watanzania wanaotafuta pesa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
1 Reactions
0 Replies
712 Views
'Practise had made perfect',all form six as the varified candidates should make sure that when they're in the room of an exams under an invigilator should not show sign of cheating or using an...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Hello, jf salamun: natafta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka Morogoro wilaya ya kilombero kuja mbeya- Rugwe. naomba tuwasiliane.... kwa .... namba: 0756683840 or PM
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yap haya maneno yanakuwa yanachanganya sana wa2....inafikia kipind some of p'po wanakuwa wwana shout kabissa kwa kusema institute is bettr than UV and vise versa.....so wana JF kama kuna m2 yupo...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nahitaji kusoma degree ya kwanza kwa njia ya mtandao ili kujiendeleza uelewa wangu zaidi,naweza kupata wapi chuo nikasoma kwa njia ya online nikiwa naendelea kufanya shughuli zangu za kila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello Jamiiforum Am i need of sponsorship for Masters studies.and i want to study abroad and not in Tanzania. My name is Martha Christian from Tumaini Universty Makumira, Arusha Tanzania
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Utata Umegubika Ajira Za Walimu 2013 Zilizosemwa Kutangazwa Januari Kama Rais Kikwete Alipoudanganya Umati Huko Kigoma Ktk Uwanja Wa Barafu Pia Waziri Mlugo Nae Akatoa Tamko Kuwa Ni Januari! Wote...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
kwa habar nilizopata ni kwamba necta wametangaza kuwa bado matokeo yanaendelea kufanyiwa mchakato yakiwa tayari yataonekana kwenye mitandao ya jamii kuwen na subira 4m four mtafaulu2
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tuwaombee dua wanafunzi wa kidato cha sita 2013 wafanye salama mitihani yao jamani!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SAMAHANI WADAU MATOKEO YAKITOKA BASI ATAKAYE WAHI TUFAHAMISHANE KAMA YAMETOKA ILI NIFANYE MCHAKATO WA KUYAFAHAMU. Maana Wengine tuko INTERIOR. Ni kwa namba hii 0763631449
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Heshima yenu wakuu! Leo hapa Dar es Saalam katika chuo kikuu cha Dar es Saalm sehemu ya Mlimani kumezinduliwa rasmi mashindano ya vyuo vikuu vya Afrika Mashariki vikijumuisha Tanazania, Uganda na...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Wanajf nisaidien fulcuties za HGK combination UDOM /UDSM coz nataka fanya application.
0 Reactions
6 Replies
10K Views
jamani mbona kwenye web site ya wizara ya afya form za maombi ya afya zizioni naomben msaada wana jf
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…