Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

1.0. UTANGULIZI Mfumo mzima wa elimu hapa Tanzania bado ni changamoto kubwa sana ya kufikia malengo ya kitaaaluma na maendeleo ya kujitegemea kielimu. Mfumo wa elimu ya Tanzania umejikita zaidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana JF napenda kufahamu baadhi ya Hasara na Faida zinazompta yeyote yule anayehamua kujiajiri mwenyewe na kutokupenda kuajiriwa na secta yoyote ile wakati vigezo vya kuajiriwa anavyo. Mfano...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Ndugu wanajamvi JF, wizara ya elimu imetoa maagizo ufanywe mtihani kuwatahini waanafunzi wa kidato chaa kwanza 2013 ili watakaofeli wachujwe. Pia tumeambiwa kuwa mitihani na marking schemes...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
idadi kubwa ya wanafunzi kutoka vyuo vikuu mbali mbali wamekuwa wakilalamikia bodi ya mkopo kutowapelekea pesa zao mpaka sasa, vyuo mabavyo nimeona wanafunzi wake wakilalamika ni SAUT MWANZA, na...
1 Reactions
1 Replies
957 Views
UONGOZI WA CHUO KIKUU SAUT WAENDESHA UFISADI WA KUTISHA KWA WANAFUNZI WAKE UTANGULIZI Uongozi wa juu wa chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino (Main Campus – Mwanza) umendesha ufisadi wa hali ya juu...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Hizi ni Rankings za mwaka 2012, It is based on academic performance. Tembelea: URAP - University Ranking by Academic Performance Country Ranking: Tanzania...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Ndugu wana JF, natafuta vitabu vya tamthiliya vilivyoandikwa na E. Musiba. Ni vile vya hadithi za Willy Gamba. Anayefahamu anijulishe tafadhali
0 Reactions
2 Replies
1K Views
helo ndugu zangu, ivi sehemu nzuri ya kufanya field kwa course ya Bussines administration in Marketing Management ni wapi/ na hua wanapokea barua za field lin, samahan kwa wale wa Dar, Arusha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
SOURCE ITV Zaidi ya watoto 7000, wilayani mbozi-mbeya wamefaulu kuingia kidato cha kwanza huku hawajui kusoma wala kuandika. Na mwaka 20111/2012 watoto 28,000 walifaulu bila kujua kusoma wala...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Bwawa la samaki linahitaji matunzo ya mara kwa mara ili kuhakikisha linakaa katika hali inayostahili kuwawezesha samaki kuzailiana au kustawi vizuri. Bwawa lisipopewa matunzo mazuri linaweza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jaman naomba kuuliza hv ni vigezo gani vinahitajika kwa mtu aliyemaliza kidato cha nne kujiunga na diploma ya uafisa tabibu au uuguzi?
0 Reactions
2 Replies
7K Views
ADVANCED CERTIFICATE OF SECONDARY EDUCATION EXAMINATION FEBRUARY 2013 TIMETABLE DAY & DATE MORNING SESSION (A.M.) AFTERNOON SESSION (P.M.) CODE NO. SUBJECT TIME CODE NO. SUBJECT...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama ilivyokuwa kwa website ya(dullonet) (Netfirms | This account has been suspended) ilivyofungiwa na netfirms ndivyo ilivyo hata sasa kwa tovuti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Tanzania...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Katika elimu neno mtaala (Curriculum) linamaanisha utaratibu, mpangilio, muundo na maudhui ambayo mwanafunzi hupaswa kufuata na kukamilisha kama sehemu ya matakwa ya kupata tuzo fulani ya kielimu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Punde hivi naangalia habari kwa ufupi (Tbc). Ambapo Dc Mbozi mkoani Mbeya ameripoti kua Serikali imegundua (Confirm) kati ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha kwanza wilayani...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Ingawa naambiw niish kwa kutoangalia watu lakn jaman kwng imezidi,jaman napata fedhea na dharau za hal y juu kutoka familia yng mpak jamii kwa ujumla.eti familia yng naambiw ctakuw na msaada...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Hiv kwa wanaosoma kitivo cha TAKWIMU {statistics} huwa wanatumia miaka ningap kumaliza degree ya 1 na ni combination gan inakuwa priority? Kwa wanaosoma HGK au HGL vp?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ninashida ya kupata shule inayoweza kumpatia nafasi ya kufanya mtihani wa form II mtu aliyewahi maliza form IV. Ninafanya hivi kwa sababu kuna mtu ninaetaka kumsaidia kielimu lakini nahitaji...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hebu fikili ndugu yangu yangu katika kipindi hiki cha likizo ya siku chache ambayo haiwezi kukufanya mtu unae toka hata kilomita 100 nje ya barabara kuu huwezi kudi nyumbani kwa sababuni siku...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…