Mwanafunzi Mmoja nchini Misri amekatwa akiwa anafanya udanganyifu katika chumba cha mtihani kwa kutumia saa ndogo ya mkononi Katika hali isiyokuwa ya kawaida inayonesha matumizi mabaya ya...
habari wanajamvi hili la elimu,jamani naitaji kusaidiwa kujua ni collage gani ambayo imesajiriwa na naweza kupata nafasi ya ualimu wa chekechea kwa sasa,maana najua sehemu nyingi wamemeliza...
Hizi ni shule ambazo kidato cha sita watachaguliwa kwenda JKT mwaka huu kuanzia machi
Kibondo, Musoma, Kibaha, Ilboru, Bagamoyo, Jitegemee, Tabora Wavulana na Nganza...
Pamoja na kwamba haujakuwepo utafiti wa kina katika hili, nimejiridhisha kwamba hili limeanza kuwa tatizo sugu na kuna sababu ya kuliangalia swala hili kwa kina ili kunusuru elimu yetu.
Pengine...
Kopi 300 zitagawiwa kwa wabunge zinahusu mtaala wa elimu. Swali je tafurani ya bungeni leo asubuh, kwanin dr kawambwa akuwasilisha kopi? Nchi ni usanii kila kukicha
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2012 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
Wana jamvi najitokeza kutoa hoja hii juu ya umbumbumbu mkubwa uliooneshwa na ukada na ushabiki wa kizembe uliooneshwa na bunge letu hii leo asubuhi, wakati Mheshimiwa James Mbatia akitakiwa...
Habari bandugu wa Jf,wizara ya afya na ustawi wa jamii inakaribisha maombi ya kujiunga na course mbalimbali zitolewazo na vyuo vilivyo chini yake,kwa maelezo zaidi tembelea hapa
Wana jf eti mbona wizara ya afya wamesha tanganza kupokea maombi wizara ya afya ila kwenye web site yao hawa weka form ama mwaka huu yana tumwa kwa barua siyo form nisaidieni
siku kadhaa baada ya kumalizika mkutano mkuu wa chaso-IFM kumeongezeka wimbi la wanachama wapya kujiunga na CHADEMA kupitia tawi la chaso IFM .wanachama hao wameonekana kuwa na hasira na serikali...
Habari zilizozagaa uswahilin hasa kwa wale wana0subiri P0ST wanasema pesa zilizo tengwa kwa ajiri ya kujikimu walimu wapya zimepelekwa wizara ya ulinzi kwa ajiri ya mafunzo ya JKT. je ni kweli?.
Hoja ya Mh. Mbatia ilikuwa imesimama hasa ukizingatia hali mbaya ya elimu inayolikabili taifa letu.
Mh. Mbatia alitaka iundwe tume ya Bunge kuchunguza sababu za kuanguka kwa elimu nchini na kutoa...
Enzi za kusoma kwa ajili ya uelewa na mitihani. Enzi za kuomba Mungu sana ili nifike Chuo Kikuu. Ilikuwa ni mwaka 2004 pale Shule ya Sekondari Wavulana Songea. Nakumbuka mbali na mengi.Namshukuru...
Nafasi za Ualimu shule ya English Medium(Nur& Pr) Natangaza nafasi za ualimu katika shule ya Queens' Academy iliyopo Ukonga Sitakishari. Shule hii kwa miaka miwili mfululizo imepasisha watoto wote...
Afisa huyu Bwana Pandawe amelewa madaraka anakula hela za likizo za walimu yeye na maofisa wake walimu wakiuliza wanapewa vitisho vya kuhamishwa na ni kweli anawahamisha ovyo ama kwa hakika elimu...
Hi JF members!Ninasoma shahada ya kwanza katika mojawapo ya vyuo vikuu hapa nchini lakini kiukweli nna ndoto siku moja ya kwenda kusoma nje.So ningependa kufahamu yafuatayo; 1.Ni namna gani naweza...
PROF. SHABAN MLACHA wa idara ya kiswahili anaendelea kulalamikiwa kuwa ndiye chanzo kikuu cha migogoro katika chuo kikuu cha Dodoma. Prof huyo ambaye pia ndio naibu makamu mkuu wa chuo...
Wana jf napata shida sana hasa nikijaribu kutafakali elimu pamoja na maisha kwa ujumla hasa pale ninapowasikia baadhi ya watu wakizungumza kua kama mtu hujabahatika kupata elimu za juu au...