Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Amani iwe nanyi ndugu zangu kwa heshima yangu kwenu naomba kuwasilisha matokeo kidato cha nne fulani ili uweze kunijuza kama inawezakana kwa matokeo hayo muhusika akapata chuo cha umeme...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wana jf nadhani mu wazima wa afya. Kama mjuavyo suala la serikali kuajiri watumishi wapya wakiwemo walimu limezungumzwa tangu muda mrefu na viongozi mbalimbali wa kisiasa tangu mh. Rais...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Katika mambo mazito mliyoyanadi katika ilani yenu ya uchaguzi mkuu wa 2010 ni elimu ya bure kuanzia chekechea hadi sekondari. Nasema hongera kwani licha ya kubezwa na sauti nzito za chama tawala...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waziri wa afya na ustawi wa jamii Dr. Hussein A. Mwinyi alimteua Prof. Samwel Victor Manyele wa UDSM, kuwa mkemia mkuu wa serikali kuanzia tarehe 21/1/2013. nafasi hiyo ilikuwa wazi baada ya...
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Nipo hapa kigonsera hapa kuna maafari ya kidato cha sita hakika hapa ktk ukumbi hapatii matu?maini shule imachoka vibaya huu ukumbi si ule mnaoujua mliosoma hapa. Mgeni rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
The Ranking main factors are Size,Visibility,Research papers and Scholars. Name of Univesity: World Rank [1.University of Dar es salaam -3415 2.Open University of Tanzania...
0 Reactions
37 Replies
11K Views
Danish Government Scholarships for Non-EU/EEA Students Danish higher education institutions receive a limited number of government scholarships each year to fund highly qualified full-degree...
0 Reactions
0 Replies
940 Views
Habari zenu wa JF..am a graduate in computer science(bachelor) would like to know if ethical hacking and cyber security ni a marketable in Tanzania today? I am thinking of pursuing the course.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Salam wakuu wa kazi. Mimi mwenzenu nataka sana kuwa mjuzi wa kuandika research. Nilipata kumuona jamaa mmoja alikuwa f4 leaver akawa anafanya kazi za kujitolea na taasisi za utafiti lengo ikiwa ni...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
jamani aliyewahi kufanya research kuhusiana na iyo title tuwasiliane inbox
0 Reactions
1 Replies
676 Views
Kwa kuonesha wanafunzi wa UDOM kuchoshwa na propaganda za Mkopo kuna mpango wa kufanya uharibifu mkubwa mji wa Dodoma. Moja ya wanafunzi wanaoratibu Mpango huo amesema watavamia ofsi zote za...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Jamani Hii Nelson Mandela ni institute nzuri kwa masuala yao ya science, nashindwa kuelewa jamani kwanini hawachanganyi course zao? mbona vyuo kama Udom wameweka kitengo cha science and...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
napenda kufahamu ajira za walimu zinatoka lini??? Halafu serikali inasema kuwa elimu ya tanzania ipo nyuma,, sasa je uanafikiri wanafunzi watapataje elimu bila ya kuwa na walimu?? Mnaweza kusema...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Tangu ndg Omari Mkombole ateuliwe kukaimu ukurugenzi Manispaa ya Arusha amepelekea walimu kuwa wa mwisho kulipwa mishahara yao. Hii inafanya ugumu na kuleta usumbufu kwa waajiriwa wote ambao ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukiwaona wanafunzi huruma. Wanafunzi wengi tangu wafungue chuo hajapata pesa zao ambazo ni stahiki. Hali hii imesababisha wanafunzi kusoma na wengne kutumia Mwili yao Vibaya. Nimepita jana...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
hellow wadau , nimechagulia kwa master programme ya business administration in marketing and Entrepreneurship, na uliza je chuo hicho kimesajiliwa? na vp kuhusu quality ya elimu pale na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa swala la ajira inaonekana pana uendawazimu serikalini. Hakuna mipango madhubuti ya idara gani inahitaji wafanyakazi wangapi na kuanzia lini. Nadhani kulalamika si swala la msingi japo watu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hellow wadau , nimechagulia kwa master programme ya business administration in marketing and Entrepreneurship, na uliza je chuo hicho kimesajiliwa? na vp kuhusu quality ya elimu pale na...
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Natanguliza shukran za dhat kwenu, naomba mnisaidie namna ya kuziona post za ualimu kwenye mitanao au anuan inayoonesha post hizo, asante, mwana jf mwenzenu
0 Reactions
12 Replies
3K Views
1.Mara oooh, udom wanafundishwa na tutorial, kuanzia nimeanza coz zangu sijawah fundishwa na tutorial isipokua kipind cha LG. Ni chuo gan Tanzania hakina tutorial? 2. Eti udom chuo cha kata. Wengi...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…