upo class unafundisha geo mada ni rotion of the earth...mwanafunz akauliza kwa hiyo kama dunia inajizungusha na sis bila shaka tunazunguka pia, lakin mbona dakika hii hapa tulipo hatuzunguki na...
Habari za muda huu.
Habari za kusikitisha kabisa ni kwamba mmoja wa wakaguzi wa ELIMU wilayani Rombo ametoa kauli chafu na ya kuudhi kama si kudhalilisha kwa kundi la Walemavu.
Mkaguzi...
Birds dont urinate.
Ants never sleep. Also they dont have lungs. Worker ants may live seven years and the queen may live as long as 15 years.
Horses and cows sleep while standing up.
If you...
Wanaotokea nyanda za juu kama Kilimanjaro, Upare. Usambaa, Mbeya na Highlands za kusini watakua familiar na hili tunda. Kwa kifupi matunda haya yanafananishwa na nyanya na matumizi yake ni kama...
A company operates four factories. Each makes components which are incorporated into the products sold by one or more of the other factories. To encourage a competitive environment the...
Leo saa 2 usiku, redio one imetangaza kua mwanachuo wa mwaka wa 3 shahada ya uuguzi, St. Johns university, amebakwa na mwili wake umeokotwa asubuhi. Hivi karibuni, wanachuo wa IFM na J.K Nyerere...
Viongozi wa UDOSO mnasubiri nini kujiuzulu?wanafunzi wa UDOM wanaishi bila mikopo kwa zaidi ya miezi mitatu chuoni na wakati nyie mpo??kama mmeshindwa kutatua matatizo ya wanafunzi wenu...
katika Africa ya mashariki ni Nchi gani itakuwa inaongoza kwa mfumo mzuri wa Elimu na elimu safi?
Kati ya nchi hizi
Tanzania.Uganda,Burundi.Kenya na Rwanda!!
Habari zenu wana memba naomba mnisaidie hili swala mim ni mwanafunz wa chuo kikuu cha mjin iringa mwaka wa 3 had sasa cjalipa ada kutokana na matatizo ya kifamilia na had sasa cjajua nin hatima...
JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limetaja shule 24 za sekondari ambazo zitatoa wanafunzi 5,000 waliomaliza kidato cha sita watakaojiunga na jeshi hilo. Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Raphael Mahuga...
Wakuu habari za usiku,kwa wale ambao tumeajiriwa poleni na majukumu ya kila siku na wale ambao bado tunatafuta kazi tusikate tamaa MUNGU yupo na ipo siku atakusaidia utapata tu,Baada ya salam...
Kuna Dean wa Faculty ya ICT katia chuo kimoja (sitotaja jina la chuo) alikuwa anasimulia maswaibu anayoyapata katika kazi yake.
Alisema ya kwamba anahudumiua wanachuo 120, takribani 90% ya...
Habari wapendwa!, ni mara ya kwanza kuandika chochote mahali hapa. Kikubwa naomba kufahamishwa kwa wale wenye uzoefu. Nina Diploma in Electronics and Telecommunicatrions Engineering kwa bahati...
Wakuu habari za usiku,kwa wale ambao tumeajiriwa poleni na majukumu ya kila siku na wale ambao bado tunatafuta kazi tusikate tamaa MUNGU yupo na ipo siku atakusaidia utapata tu,Baada ya salam...
Poleni kwa shughuli,nahitaji msaada wa vyuo vya ualimu wa diploma,vyuo vya serikali,na wanaanza kuapply mwezi wangapi?plz nahitaji hata naejua gharama zake,nisaidieni tafadhali,Mungu awabariki
Hello watanzania wenzangu, mimi nina mapendekezo ambayo ningependa wadau wa elimu tujaribu kuyaangalia na kuya pa umuhimu...kutokana na swala la elimu kuwa muhimu kwa vijana wa nchi yetu nina...