Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

HATA WAZIRI MALAIKA ATAZOMEWA Kati ya wizara vichaa ni hii,hata kama ulikua na jina kubwa, weledi wa hali ya juu, mwanadiplomasia au uwe na busara iliyopindukia ukipewa hii Wizara tegemea kashfa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani,matokeo ya form four yanatoka lini?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wakuu wapi naweza pata chuo kinachofundisha ufundi wa haya madirisha nimeenda pale veta chang'ombe wamesema hawafundishi
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Najaribu kuperuzi kadri niwezavyo pamoja na uhafifu wa mtandao nashindwa kuona chochote, nauliza kuna mtu ambaye amekwishayaona matokeo hayo kwenye web ya MoE? Tujuzeni.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wa JF Haijawahi kutokea serikali kutumia matokea ya mock mkoa darasa la saba kufanya selection, mwaka huu hilo limefanyika. Je huko ni kutatua tatizo au kuendeleza udhaifu? Je wanaweza...
0 Reactions
12 Replies
10K Views
The Profit and Loss Account What is Profit & Loss all about? The profit and loss account is actually 3 different things all rolled into one! The names of these 3 sections are: Trading...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mgomo baridi ni hatari.JK alisema walimu watumie za mbayumbayu na wakamsikia mkuu wa nchi yao .kwa hili nimewakubali.inasemekana wanafunzi wa primary 2012 wamefeli hadi kufikia hatua ya wanafunzi...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Watu wa mjini hupenda kusema: "Wizi noma ila unyama balaa" Huu ni zaidi ya unyama, zaidi ya ukatili uliokithiri uliofanywa na wanakijiji wenye mioyo ya jiwe iliyokosa nyama. Tukio hili limetokea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati Baba_Enock akisoma Shule ya Msingi Rumuli/Kashasha na Shule ya Sekondari ya Ufundi Moshi/Sengerema, asubuhi kabla ya kuanza masomo kulikuwa na utaratibu wa kukusanyika wanafunzi wote na...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
The National Examinations Council of Tanzania will host the 31st Conference of the Association for Educational Assessment in Africa (AEAA) from 12th to 16th August 2013. The Venue of the...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Saturday, December 22, 2012Mahafali ya nane ya Suza katika picha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatu kulia) pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wana Jf, Naomba msaada wa taarifa juu ya shule ya sekondari kwa jina la 'Nguvu mpya'. Naomba kujua ipo sehemu gani? Ina vidato vingapi na kama ina 'O' level na 'A' level na kwa taarifa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hv serikali ilkusudia k2 gani kuanzisha shule za kata ambazo hazna walimu, wanafunzi wanateseka coz inabd kutafuta tution wakati wazazi hawana uwezo wa kuwapeleka tution....wanaumia jaman...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nakumbuka mara kadhaa Serikali, kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, chini ya Naibu Waziri Bw. Mulugo, iliwahi kutoa tamko ya kwamba itatoa mwongozo wa viwango vya ada kwa shule binafsi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
By By HEATHER HOLLINGSWORTH | Associated Press – 1 hr 51 mins ago Enlarge PhotoAssociated Press/Charlie Riedel - Debbie Alexander checks out her son Jason's baggy-fitting jeans after he...
0 Reactions
1 Replies
805 Views
WALE WANACHUO WA OPEN UNIVERSITY WANAOSOMA UNDERGRADUATE NA FOUNDATION STAGE WANAOTAKA LECTURE KATIKA ACCOUNTANCY , AUDITING AND BUSINESS MATHEMATICS WAWEZA KUWASILIANA NA MIMI KWA EMAIL IFUATAYO...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
When the closed door sickens you, know that there is the untried way. “When one door of happiness closes, another opens; but often we look so long at the closed door that we do not see the one...
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Wana jf leo saa 7 mchana waziri ametangaza matokeo ya drs la 7.Kwa mujibu wa TBC-dira ya mchana kiwango cha ufaulu kimeongezeka!!Ilisemekana hali ni mbaya!Lakini hii ndio serikali ya ccm huwa...
1 Reactions
24 Replies
10K Views
tunapenda sana kusoma lakini hii serikali yetu inaubaguzi. KWANINI TUSIPEWE MIKOPO?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Eti leo wametupeleka uarabuni kwel ndo tunapelekwa wap au elimu inatak itolewe kwa hyo lugha
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…