Waziri .....katika kutoa tathimini ya ufaulu amesema zaidi ya wanafunzi laki tano wamefaulu kwa daraja D. kwa tafsiri robo tatu ya wafaulu wameshinda kwa daraja D. Yaani kwa wastani wa maksi 11...
habari zenu wana jf,kuna ndugu yangu aliapply chuo flani cha diploma kwa kutumia jina langu,na akapata nafasi,sasa kwenye kuripoti akachukua cheti changu original cha form 4 kukionesha chuoni,bila...
Wadau naomba kujua matokeo ya darasa la saba mwaka 2012 yatatoka lini? Maana tuliambiwa mwaka huu yatawahi kwasababu kazi ya usahihishaji ingefanywa na kompyuta! Naomba majibu wadau mnaofahamu hili.
Ninahamu sana kutaka kujua matoke ya DRS la VII yamekaaje mwaka huu kulingana na mazingira ya mwaka huu wakati mitihani ilikuwa imetanguliwa na mambo kadhaa hasa kubwa ni lile la mgomo wa walimu...
Chuo kikuu cha Dar es salaam, kwa hakika hakijafanya kama kinavotegemewa kwa kipindi cha miaka 50, kimebaki hivyo hivyo kwa kipindi kirefu, kimeshindwa kutoa wasomi na wataalamu wanaohitajika...
TUMEKUWA tukisisitiza mara kwa
mara kwamba muundo wa Bodi ya
Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
(HELSB), una walakini mkubwa. Bila
kutafuna maneno, tumekuwa tukisema
kwamba bodi hiyo haiwezi...
Dear Colleague JF Members,
Greetings to all, I expecting that this good news find you well.
I am writing this to you being an information that there will be a Research Methodology...
Tanzania,mwanafunzi akifeli, kidato cha nne anapangiwa, ualimu shule za msingi. Akifeli kidato cha sita eti ndio amepata sifa za kuwa mwalimu wa sekondari, je SHULE zetu hazihitaji mtu mwenye...
Bodi tugeukieni na sisi wa Verification kwa SUA.Yapata miezi miwili na kidogo hatujapata pesa.ni mateso makubwa sana hasa sisi maskn.Bodi toeni tamko sasa,mmeahidi toka mwezi wa kumi kuwa mtatoa...
Habari zenu wadau,jaman kuna jambo linanipa shida,
nina rafiki yangu kaniomba ushauri kuhusu ualimu,binafsi sijui lolote kuhusu ualimu kwa kuwa nasoma fani tofauti nayo,
Anasema a'level alipata...
Chuo chetu kikonge, cha ukweli na chenye ubora wa juu Tanzania, Africa ya mashariki na hata Africa kwa ujumla hakiwezi kikatofautishwa na MAN U katika tasnia ya mchezo wa mpira wa miguu. Chuo hiki...
Applications for Chevening Scholarships for 2013-14 are now open, and will close on 2nd January 2013. Please go to www.chevening.org/tanzania for details of eligibility criteria and how to apply...
Kwa kweli hali ya mmu inatishia hatima ya wahitimu wake wa miaka ijayo.uongozi hautaki kuwasikiliza wanachuo serikali ya wanachuo inakwenda kwa kufuata upepo tu
Iweje cheti kimoja kiwe na A ya71...
excuse me but lady liberty needs glasses,
and so does mrs justice by her side,
both the broads r blind as bats
stumbling thru the system
justice bumbed into mutulu and
tripped on geronimo pratt...