Habari zenu wadau.
Naombeni msaada wenu wa haraka ili niweze kupata novel hii ambayo ni muhimu sana katika dissertation yangu. Hapa Dar nimeikosa, nimecheki na Nairobi haijafika.
Tittle: BROKEN...
Katika kile kinachoonyesha kuwa mabadiliko ndani ya jamii hayaepukiki,wahitimu wa kidato cha nne katika shule ya sekondari ya wavulana ya mzumbe iliyopo hapa morogoro wameendelea na msimamo wao wa...
Ni muda sasa tangu mkapa foundation walichukuwa majina ya waliomba udhamini wa mafunzo ya afya lakini mpaka hii leo hakuna kilichojili! Plz wanajamii f- kama kuna yeyote anayejua kinachoendelea...
FAST FACT
Nationwide, while nearly 28 percent of women had received a bachelor's degree by age 24, only 19 percent of men had done so in 2009-10.
Source: U.S. Bureau of Labor Statistics
Total...
Wakuu!
Nimependa nilete mada hii baada ya Kuona CV ya mhe:mmoja ambaye wakati akisoma B.A.Economics pale Udsm mwaka huo huo alikuwa anasoma kozi ya mambo ya Utawala katika chuo...
Nimepata taarifa kuwa Chuo kikuu cha Ekernforde kilichopo Tanga hakijasajiliwa na Baraza la Famasi kutoa mafunzo ya ngazi ya cheti (Certificate in Pharmaceutical Sciences) na diploma (Diploma in...
Habari wakubwa,
naomba kwa yeyote anayefaham wapi masomo ya kifaransa, kichina, kilatin na kihindi kwa hapa dar es salaam, wapi ntapata pa kuyasomea?
Tafadhali tuwasiliane kwa 0762972021 au...
2013 Software Engineer Intern, Africa Trainee Program - Zurich
This position is based in Zurich, Switzerland.
The area: Engineering & Operations
Google is and always will be an engineering...
Hadithi inayokuja, ni ya Sungura
sikia,
Hadithi uliyongoja, leo
ninakuletea,
Alitoka siku moja, njaa aliposikia,
Nja aliposikia, Sungura nakuambia
Siku ile akaenda, Porini
kutembelea...
KATIKA kipindi cha mwaka 2012/13, serikali imetangaza kuwa kila mwanafunzi katika shule za sekondari za serikali nchini, ametengewa kiasi cha sh 25,000 kwa ajili ya huduma mbalimbali wanazopatiwa...
Awali mwalimu wa BAGAMOYO SEKONDARI alibakwa na wanafunzi wake, mkawasingizia walimu.
Baadae wanafunzi wanagombana na mkuu wa shule tena mnasingizia waalimu,
1. Ipo laana inawatafuna wakuu na...
wana jf kunakitu kinanitatiza sana jua limetulia au na lenyewe linazunguka kwenye muhimili wake maana kuna mahali nimesoma inasema nalo linazunguka kwenye muhimili wake
D I T ni chuo kikubwa sana Tanzania .. ni chuo Ambacho kinajulikana kila pande ya nchi kwa sifa yake kubwa ya kuzalisha Waandisi wa FanI mbali mbali .. Ilo sipingani nalo maana kina lecturels...
Savour this opportunities and reach your professional goals!
Funding opportunity for students of developing countries - Sheffield Hallam University International Achievement scholarship...
Leo kwenye Mkutano mkuu wa Chama cha CCM wamekipandisha hadhi kilichokuwa chuo cha ufundi Mbeya kisha taasisi ya Science na Technology hatimae Mbeya Universit of Science and Technology, Ni hatua...
Heshima kwenu wana jf,naomba wenye kufahamu kuhusu hizi programmes mbili wanisaidie kunielewesha vizuri
1.Bachelor of Community Economic Development(BC EDP)
2.Bachelor of Arts in...