Hakika ni dhairi isiyo kificho kuwa vyuo vikuu sehemu yeyote duniani zimekuwa kama chemchem ya kuzalisha vijana katika taaluma mbalimbali ambao baadae wengi wao huwa watumishi wa umma na hata...
SAD NEWS: "Kutoka Chuo kikuu kishiriki cha ushirika
na stadi za biashara Moshi (MUCCoBS)...Mwanafunzi
mwaka wa tatu BA-MFED (microfinance and
enterprises management) Samson Mbena, aka Sam...
Check out this UNDERGRADUATE,MASTERS AND PHD SCHOLARSHIPS.They areintended for Africans just like you!
Wilson College International Student Scholarship Program
Norwegian Scholarship...
The following is a list of The Latest Scholarships for Africans from various leadingUniversities in the world.All of them are either UNDERGRADUATE,MASTERS,PHDS OR RESEARCH AIDS and they are...
Kwa mujibu wa Gazeti la The GUARDIAN hii leo, Dar es salaam University College of Education (DUCE) wana uhaba wa waadhiri. Hii elimu yetu tunaipeleka wapi, ukizingatia DUCE ni chuo cha serikali.
Pata elimu ya ujasiriamali kwa kujifunza biashara mbalimbali kitu cha kuzingatia unapoanza biashara yako, msaada wa unachokifanya na mbinu mbali mbali za kuifanya biasha yako ikue.
kwa wale...
Hi JF Education members!
Could anyone help me to explain in brief the Ethical changes facing auditor's
thank you looking from your cooperation in this regards!
Lukelo
Wana bodiHii imekutwa kwenye baadhi ya email ambazo huwa zinakuwa circulated kwa waalimu wote wa UDSM wakijadili maada fulani.
Hivi ni wapi kunaunafuu, sisi wanafunzi hapa UDSM ndio kabisa...
Ndugu zangu mie nahsi semister ya pil nitaacha chuo maana maish ni magumu san hap chuo.nilifanyiwa transfer ila hawakuufanyia transfr mkopo wangu.je wamefkia wap? Watu hawa
1.
Eti ukilulizwa swali hili kwa interview unatakiwa ujibu vp jamani,msaada plz
What are your expectations with regards to personal and professional development in this position?
Tanzania has the most powerful army in East Africa; "RANKING NUMBER SIX IN OVERALL TOP TEN IN AFRICAN COUNTRIES" The Tanzania Peoples' Defence Force (TPDF) (Swahili: Jeshi la Wananchi wa Tanzania...
Mara nyingi kuna neno ambalo limekuwa likitumika katika jamii hasa kwa mwanaume anayemiliki zaidi ya mke mmoja kuwa ni malaya. Lakini ukirejea katika vitabu vitakatifu vinasema ..... enyi wanaume...
wakuu habari,
natafuta websites ambazo ntaweza pata notes za masomo yafuatayo
1.DEVELOPMENT STUDIES
2.ACCOUNTS
3.BUSINESS LAW
kwa yeyote mwenye msaada weka hapa ntaupitia kwa roho safi kabisa...
Hekima ingehitajika sana kutatua mgogoro baina ya walimu na mkuu wa shule-kutojali maisha binafsi,familia za walimu
mgogoro baina ya wanafunzi wote na mkuu wa shule-mkuu washule...
Wakuu,
Napenda kuwajulisha kuwa Mtanzania wenzetu ametoa kitabu kizuri sana kiitwacho SUPU YA ELIMU.
Kitabu hiki ni Muongozo, Dira na Barabara anayotakiwa kupita mtu ili aweze kupata mafanikio...
Niliwahi kupata ujumbe mfupi wa simu kuniarifu kuwa kuna chama kipya cha maafisa elimu (walimu wenye degree) kama mbadala kwa walimu ambao wamechoshwa na ubabaishaji wa cwt.Je ni taarifa za...
Mtihani wa kidato cha pili, umemalizika kwa shule zilizo nyingi Tanzania. Mengi yamegundulika wakati wote wa mtihani lakini kubwa zaidi ni pale wanafunzi walipoonekana wameuchapa usingizi kwenye...
BODI YA MIKOPO IMEAMUA KUWAFANYIA UFUSKA WANAFUNZI WANAOSOMA NJE, WAKIWEMO WA URUSI, HABARI ZA UHAKIKA KUTOKA KWA WANAFUNZI ( MAJINA TUNAYO) ZINASEMA , WALITAKIWA KUPATA HIZO HELA ZA KUJIKIMU...