Nisaidieni maana kuna mheshimiwa mmoja namdai ss haeleweki kabisa sijui tatizo nn maana anadai eti mshahara bado?
kama kuna mwalimu hapa hebu anisaidie approval hii ishu!!!
Hi wadau wa JamiiForum,Wengi wetu tuliopita UDSM faculty of Engineering then pCET then COET now CoICT mtakuwa mnamfahama huyu mheshimiwa sana Dr. Haule, he was a Telecommunications/Electronics...
Najiuliza, hawa ndugu zetu waheshimiwa mbona hatuwasikii mkitetea wananchi wenu? Inawezekanaje mpaka leo tar 37 watu hawajalipwa na mmekaa kimya? au kwakuwa posho zenu zinaflow kama kawaida? na...
06/11/2012
Serikali wilayani Bagamoyo leo imetangaza kuifunga Shule ya Sekondari Bagamoyo maarufu kama Magambani kwa muda usiojulikana kutokana na madai ya kuzuka ghasia za kidini.
Kwa...
Kama ni vurugu kuwepo nchini mwetu, basi ipo secta ya elimu nchi, tangu nilipokuwa secondary chini ya waziri mungai, sera na mabadiliko ya ufaulu yalikuwa kitu cha kawaida,kiongozi kuamka leo na...
Why Tanzania is experiencing a difficult in tax collections as well as identification of the Tanzania community needs including the the right to access and own land leaving our National economy to...
Applications are therefore invited from qualified candidates for
scholarships to pursue Master of Science in Petroleum Engineering and
Petroleum Geosciences (2012-2014). The scholarship...
Habari zenu wanajamii wenzangu, napenda kuuliza kwa yeyote mwenye taarifa ya boom hapa UDOM atujuze imekaaje, maana wiki ya pili inakatika hii wakati hata dalili hakuna, na hali inazidi kuwa mbaya...
Prof SHABAN MLACHA (profesa wa kiswahili) anatajwa kua mtu anaye vuruga chuo kikuu cha dodoma (UDOM). Yeye naibu makamu mkuu wa chuo anayesimamia mipango, PESA, na utawala lakin inasemekana ndiye...
Jaman 1st year tayar boom limetema so kuweni makini na wadada wa moshi coz walisubiria kwa hamu sana boom hili wajitongozeshe kwenu,pls someni kwa aman mtumie pesa kama yalivyomalengo ya helsb,gud...
Ni muda mrefu sana umepita tangu nisikie kuwa kuna mchakato wa kukifanya Kiswahili kuwa lugha ya kufundishia katika shule za sekondari na vyuo hapa Tz. Je mchakato huo bado upo? Na kama upo kuna...
Ni habari kutoka jijini mwanza ambapo wanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Nyerere watafanya mitihani yao ya taifa wakiwa wamekaa chini kutokana na shule hiyo kumiliki jumla ya...
Tabia hii ya unyanyasaji wa wanyama itabadilika lini? Kila mmoja mwenye uelewa anamchango wa kumuelimisha asiye na uelewa huu ili tatizo hili litutoke. Tazama kiambatanisho, maelezo zaidi juu ya...
Habari za muda huu great thinkers, kwa wanaoenda chuoni mwaka huu nimesikia habari ambazo sina uhakika nazo juu ya mkopo unaotolewa na bodi ya mkopo kwa wanafunzi wavyuo vikuu kwamba eti katika...
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimewatunuki shahada wanafunzi wasio na sifa katika mahafali ya arobaini na mbili Kwa minajili ya kutunikisha Digrii za awali, Stashahada na vyeti kikundi cha pili saa...
Habari za usiku jamani natumain muwazima wa afya nimuone Niweke Hii topic hapa jamvini
In short Nina mdogo wangu anataka Kuomba Chou cha kampala unversit kweli amekupenda sana sasa...