The Nelson Mandela African Institute of Science and Technology (NM-AIST) inatoa sponsorship kwa wanafunzi wake wa Masters na PhD.
Kuna mdau yeyote anayejua kama orodha ya wanafunzi wa mwaka huu...
Naombeni msaada nilichaguliwa duce nimeenda duce jina halionekani wakaniambia niende udsm nimeenda nako jina halipo nimeenda tcu mpaka leo wanasema watatoa majina kwenye mtandao sasa hata sielewi...
vigezo na mashart kuzingatiwa,,,inabidi awe 2nd year afu anasoma B.COM ya BANKING $ FINANCIAL SERVICES,,TOFAUTI NA HAPO,,,,NO ENTRY,,USISUMBUKE KUPIGA SIMU,,,,anaefit hii offer apige simu 0756...
Stendi kuu ya mkoa Dodoma yahamishiwa nzuguni (nanenane) na ile ya daladala imesogezwa hapo stendi ya mkoa. kuna usumbufu kidogo, huenda hali hiyo itarekebishwa na wahusika. poleni wasafiri wenzangu
wadau nlikua naomba msaada wa mawazo kuhusu kuhama chuo! nmechaguliwa tumaini dar(law) bt mwenzenu mimi ni mtoto wa mkulima siwez kumudu tution fee ya 2.5 Miln. chuo nahtaji kwenda bt ugumu...
Jaman,wiki iliyopita necta wametoa ratiba mtihan mwez wa 5,lakn kuna m2 kasema tbc walitangaza kuwa kuna mabadiliko kuwa walimu wakuu wameishawishi wizara,wameamua mtihan ufanyike february.kuna...
Ndugu zangu, naomba kufahamu kwa sisi ambao hatujapata mkopo kama kuna taarifa ya awamu nyingine ya majina ya mkopo... truly tunnaumia sana na kuhisi kutopata chance ya kuendelea na masomo.
Kwa...
Naomba ushauri kuhusu International schools ambazo zinaperform vizuri na pia gharama zao ni average, siyo juu sana. Na je, ni Feza tu International school nzuri ambayo ina option ya NECTA?
Katika pitapita yangu mtaani siku ya leo nmekutana na vijana wengi wa kidato cha nne wakizunguka huku na kule kusaka walau zilizovuja bila mafanikio, hali hii imenifanya nikumbuke miaka kadhaa...
Kama mnavyoenda kuanza mitihani yenu,muombe Mungu,kaa chini soma kwa makini maswali na kisha ujibu. Ukifanya vibaya mtihani mmoja,usikate tamaa kwa mitihani inayofuata. Acheni kufikiria mitihani...
hongeri sana waziri wa elimu ya juu na watumishi wote wa bodi ya mikopo kwa kazi nzuri.
Naskitika sanawa pale m2 anapo ji2ma mwingine ansinzia nakutegea
Kabla ya bunge la 10...
jamani wale mu vp mpango wa makazi vyumba vikoje huko ss tusojua mazingira ya huko mtujuze wakubwa nimeona hosteli walizotuandikia ziko bei ya juu sana.:rockon:
Inavo themekana MULUGO alikosea kutoa ile kaul ya kua 4m6 hawausik katka uu mkumbo wa kubadlika kwa mihula! So 4m6 mtian mwez uleule wa5 na cmp zngine wa shapata na ratba tayar! Nan mwngne anajua?
Alhamisi iliyopita nilienda helsb wakaniambia zoezi la kuapeal litaanza ndani ya wiki mbili zijazo na kwasasa wanatengeneza mambo vizur ndo maana ha2wez kuapeal.
Kwanza kabisa napenda kutoa shukurani za pekee kwa HESLB kuleta cheque kwa wakati unaotakiwa. Pia naipongeza serikali ya wanafunzi chini ya uongozi wa Malisa kufuatilia hili suala kwa ukaribu...