Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

mm ndiye niliyeandika hii thread " kwa kupata loan naipigia CCM kura " watu waliwaka na mm wengine walinitukana na wenye busara walinielewesha kuwa loan ni haki yangu.....NAIFUTA kauli...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa wale mlochaguliwa ifm medical examination form iko on air tayari...tembelea www.ifm.ac.tz ujipakulie mzigo nawasilisha
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wapendwa mliochaguliwa mist na ambao mnaendelea na masomo katika chuo hiki tubadilishane uzoefu na mimi ni mwenzenu naja kusoma BBA......... Karibuni uwanja ni wenu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi:habari yako mkuu? Yeye:salama tu,naweza kukusaidia? Mimi:ndio mkuu,nilikua nataka kujua utaratbu wa utoaji wa majina ya waliopata mikopo kwenye NGO yenu yatatoka lini? Yeye:anytime from...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
ninaomba kuwauliza jamani hivi hostel za mzumbe mbeya campus zinajitosheleza kulingana na idadi ya wanafunzi waliochaguliwa,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kwa anayefahamu jamani ninaomba...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mfano Mimi Nimepata Loan Ya Tsh.3867000/= Hii Pesa InaGAwanywa Hivi.... ¤Accomodation,Meal and Stationary kwa Vyuo Vyote wanatoa= Tsh.2000000/= ¤School fees ni = Tsh.1263000/= Total Summation...
1 Reactions
135 Replies
19K Views
mfano mm nimepata m3 na laki moja na ada yangu ni laki nane so natakiwakulipa shingap
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani kwa anaefahamu anijuze tafadhali?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jf.Naomba anayefahamu ada ya MEDICAL DOCTOR na BSC IN HEALTH LABORATORY kwa mwaka anijuze.Ahsanteni.
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Huku Rufiji ni swala lakusikitisha sana,eti viongozi ambao pia baadhi yao ni wakuu wamashule wanakaa nakukubaliana kuwa msimamizi alipwe 18000 na msimamizi mkuu ni20000 kwa wiki.Hivi tunakwenda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wana Jf,jina langu limetoka second batch udom,lakn siwez kudownload admissn letter...,naomben msaada tatizo nini?
0 Reactions
3 Replies
925 Views
Next to hall five there is a list of room allocation for prospective USDM first year students. Hopefully, they are found in University Site as well. Source: USAB Notice Board
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu, Napendekeza shule zetu za kidato cha tano na cha sita kila moja iwe na combination moja tu. Maana yangu ni kuwa kama shule ni ya PCM basi wanafunzi wote katika shule husika wanasoma PCM...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi nani asiyejua kuwa darasa la saba maana yake ni pre secondary school,form four ni pre high school na form six ni pre university?sasa haya mashule wameanzisha matapeli kila mtaa eti pre...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Thread deleted.
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Jamani hawa TCU na HESLB wanaposema course hii haina kipaumbele wanamaanisha nini?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
natumai tuko wazima wana jf,,naombeni mnifumbue macho kwa hili kwa zile fakat ambazo hazina field mwaka wa 1&2 pesa za field kwa wale wenye mkopo zinaweza kutumika ktk mambo mengine mfano...
0 Reactions
1 Replies
986 Views
BONYEZAAAAAAAAAAAAA HIYOOO LINK https://aris2.udsm.ac.tz/index.php
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Kwa wahitimu wa kidato cha Sita walioomba Kusoma Diploma ya ualimu second selection angalia majina hapa: ORODHA YA WALIOCHAGULIWA AWAMU YA PILI KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa wale ambao wanaitaji kufanya transfer milango bado ipo wazi TCU, cha muhimu na kwa urahisi nenda ktk chuo ambacho unataka kuamia, unana na dvc akuambikie barua kama kuna nafasi then peleka tcu,
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…