Wanajf nina ndugu yangu amechaguliwa Sua. BVM,Ni yatima hana wazazi wote.
Cha kushangaza tumeangalia jina lake kwa waliopata mkopo hayumo.
Sasa jaman naombeni ushauri tufanyeje ili naye aweze...
Wasalaam wana JF! ni muda sasa Wizara ya Afya ilitangaza course za afya ikiwa ni diploma na certificate, je kuna chochote kimejiri kuhusu applications zilizotumwa kwenye kanda mbali mbali? naomba...
Walimu wanne wa Shule ya msingi ya Ukerewe mkoani Mwanza wanashikiliwa na polisi baada ya kufumwa wakiandaa majibu ya mtihani wa darasa la saba.
Hizo ni baadhi tu ya habari inayopatikana kwenye...
Wakuu, heshima mbele, nakili kutolewa kamasi na website ya Helsb, Tafadhali menye kujua jinsi ya kuona majina ya waliopata mkopo anifahamishe, mimi nimeshindwa kabisa kuyaona. MSAADA TAFWADHALI...
hallow wana jf hongereeni sana mliopata loan pamoja na mliokosa tumshukuru mungu,kikubwa ni kwamba tunaenda kupambana na kipi tulichokibakisha,mimi nilitamani kusoma pharmacy hapo mwanzo lakini...
Hesabu ya haraka ya matumizi ni hii,
1. Safari za town kwenda na kurudi 600/10days.
2. Weekend club 40000@wiki.
3. Kuhonga mwanamke pesa ya saloon 20,000@wiki.
4. Nguo mpya ukija 50,000.
5...
Leo kwenye kivuko cha wenda kwa miguu barabara ya Kawawa maeneo ya moroko na kanisani kuna wanafunzi wameshika vibango wanasimamisha magari watu wavuke
SHORT COURSE ANNOUNCEMENT ON DATA PROCESSING AND ANALYSIS
(To be conducted in Dar es Salaam)
The Department of Statistics, School of Mathematical Sciences is announcing short course training...
INAKERA AISEE! UNAPOAMBIWA NA BOSI WA KITENGO ETI MAJINA TAYARI AFU WEB HAIFUNGUKI.BORA WANGETEGENEZA NAMNA WATUTUMIE KWA SMS MAANA WEB YAO MAWAZOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!! AH!!!!!!!!!!!!!:bolt:
wa ungwana habari zenu? Jamani hivi inakuaje kwa wale ambao mpaka sasa hawaonekani kwenye bodi ya mikopo na wameshachaguliwa na tcu? Kuna majina yoyote amabayo yatatoka baadae au ndo nitolee hiyo?