Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Bodi imeanza kupakuwa, muda si mrefu chakula kitawekwa mezani, kaeni mkao wa kula wadogo zangu. Best wishes!!!!!!
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Salam wana jamvi wenzangu, kwanza kabisa naombeni tumshukuruni BWANA MUNGU kwa wale ambao tumepata mikopo. Jamani mimi binafsi sikutegemea kabisa kupata mkopo kwa sababu nilichagua course ambazo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ADMISSION TAYARI, BADO VITAA KUANZA, kwa mimi wa 1st year cna hata mbinu nyingi zaidi ya kusoma 2 uko. I need advice pia na masuala mengine wadau wenzangu juu ya jinsi ya ku-survive uko. (Hapa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wajuzi nijuzeni wakuu,eti heslb watatoa batch nyingine au hii ndio kwishney coz mi mtoto wa mkulima wamenitosa na je ni lini yatatoka,kama hamna tujuzane tuanze kitaolojia mapema a.k.a street...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
du ukiingia tu unapewa 702,500.00 Shilingi laki saba na elfu mbili na mia tatu. mi nakwambiaje hata wadogo zako wa shule za kata utawasomesha,utanunua ni vijiunga vya ugali upeleke home. uwezi...
1 Reactions
58 Replies
9K Views
Wanabodi, Natumaini hamjambo na kila mmoja anaendelea na ujenzi wa Taifa letu la Tanzania. Leo hapa Mwanza kuna jambo limenishangaza sana. Nimekutana na Gari la polisi likisindikiza gari la idara...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kulingana na takwimu zilizotolewa na heslb,ni wanafunz 6800 wanaosoma kozi zenye non priority ndio wamepata mkopo.asa ukipga mahesabu ya haraka haraka hapo,udsm penyewe kuna watu zaidi ya 3000...
1 Reactions
50 Replies
7K Views
Wadau nisaidieni mi sioni list ya Heslb kwa wanafunzi wa SAUT, nilitegemea kuikuta list ya SAUT hapa kwenye list ya HESLB 4: 2012/13 Loans Allocations List 3-A (RU - SJ) badala yake kila...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nilikuwa chuoni leo ili upate registration na admission card uje na receipt ya crdb songea yenye malipo ya 750000. Ambayo ni minimum wakati unasubiri loan. Masomo rasmi ni 26/09/2012.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajf mimi nmebahatika kuchaguliwa kwenda kusoma b.a sociology pale UDSM ukiachilia mbali presha ya kupata au kukosa mkopo bado sijajua itansaidia vp maishan wapi ntapt kaz n mengine mengi hapa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
:eek2:Inasikitisha sana mtu umepata shida kujaza mafomu mwisho wa siku hujapata hata robo asilimia hivi kweli watanzania tunaenda wapi?:sleepy::sleepy:
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Kama wewe umechaguliwa kwenye chuo au program ambayo hukuichagua kabisa kwenye zile 8 ulizoomba,na vile vile kama umechaguliwa kwenye 2nd round of application no matter uwe unasoma program zenye...
1 Reactions
44 Replies
7K Views
Wana JF naombeni nafasi nami nipande jukwaani, Kutokana na chanzo changu cha habari kilichopo jijini dar es salaam kilichokuwa kikidodosa dodosa kuhusu kucheleweshwa kutolewa majina ya walioomba...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Wapendwa wana jf kutoka chanzo changu cha habari cha uhakika ni kwamba loan allocation for academic year 2012/2013 ni mpaka mwezi wa kumi kutokana na mchakato mzima wa utoaji wa mikopo hiyo...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Eti ni kwel kwamba UDSM wameanza kutoa admission letters.Mwenye kujua naomba anijuze plz
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Wadau hii ngoma mpaka sasa kimya wakati tuliambiwa kila kitu kitakuwa kwenye net.Hii maana yake nini?Bila shaka walishaona kuna dali lili mbaya kwahiyo wakaamua kuwatuliza watanzania hasa loan...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
wasi wasi ndio akili hi ndio bongo land ni vitu ambavyo havina husiano kati ya kutangazwa kwa matokeo lakini hadi wakati huu hakuna kipya kwenye site yao. Nilishasema wizara husika inaitaji...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu zangu labda mie ndo sioni wanasema wameachia majina lakini siyaoni kulikoni heslb.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
jamani muda ndo huo unayoyoma na baadhi ya vyuo vimeanza kutoa admission forms. je walio apply vyuo kwa kutumia equivalent qualification vipi jamaa maana kila niki angalia ni 'CHECKING IN...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…