Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Yaani baada ya kutoa majina ya selected applicants,na news nyingine Website yao haifungui hizo news....kunani?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
jamani kwa anae jua kama wanafunzi wa second selection wanaweza pata mkopo au hawawezi pata atoe taarifa au viewz zake kwa people
0 Reactions
4 Replies
3K Views
nawapa hongera wanafunzi wote mliochaguliwa chuo kikuuu cha dodoma , ni nafasi ya pekeee sana, MUNGU awabariki, kubwa la kwangu ni kutaka kutambuana tu, ili tusaidiane kwa mambo madogo madogo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wale waliyokuwa hawayaoni majina yao katika list ya SAUT jaribuni na hapa.
0 Reactions
11 Replies
11K Views
SN NAME SEX INDEX NO. ADMISSIONS NO. 1 LUBASHA,Patrick C M S0461-0086 SAUT/MC 2012/IT 001 2 SAYAY, Amos S M S3039-0078 SAUT/MC 2012/IT 002 3 JAPHET,John M S0323-0044 SAUT/MC 2012/IT 003 4...
0 Reactions
3 Replies
17K Views
Kumekuwepo na mijadala mbalimbali katika jf juu ya chuo gani ni bora zaidi ya kingine mi nataka kuuliza katika ajira je kitu kinachoangaliwa ni umesoma chuo gani au umefauluje?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna jirani yangu ana mtoto amechaguliwa kwenda huko. Mwenye A B C za huko please.
0 Reactions
23 Replies
7K Views
habari zenu wana Jf naomba msaada kwa anayejua tarehe ya kufunguliwa kwa chuo cha mkwawa ambako kuko iringa
0 Reactions
1 Replies
993 Views
TCU wametangaza kuchapa majina ya wasiochaguliwa katika kozi mbalimbali za vyuo nchini, majina hayo yatatangazwa kupitia website yao leo hii,
1 Reactions
66 Replies
32K Views
habari zeu wana Jf naomba msaada kwa anayejua tarehe ya kufunguliwa kwa chuo cha mkwawa ambako kuiko iringa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ningependa tufahamiane hapa wale wote wa Tumaini Dar es Salaam.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kufahamu status ya shahada ya sheria ktk chuo kikuu kishiriki cha Tumaini Campus ya DSM, kuna ndg yangu amepata nafasi hapo,. Je kwa ujumla ni vyuo gani ambavyo vinatoa shahada ya sheria...
0 Reactions
0 Replies
985 Views
Wakat TCU wanaiweka ile admitted or not admitted status, kwangu waliniwekea Not Admitted. Nikaomba mapema second round kwa BaED SAUT Mwanza, IKAKUBALI, halafu ikageuka ikawa Admitted. Utata...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
nimechaguliwa huko sasa tutazipataje hizo joining instruction wakati kwenye webpage zao hakuna cha kudownload:A S cry:
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya PROFILE zinaonyesha ADMISSIONS tofauti. Kwa mfano mimi katika program nilizochagua nimewekewa ADMITTED computer science st Joseph Songea code JS001 kwa first selection.Lakini juu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu ipi kati ya hizo iko juu zaidi na ni kwa sababu zipi kwa soko la hapa kwetu Tanzania??? Nawasilisha ..!!
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Ni muda sasa tangu tusikie malalamiko kuhusu shule hii; Leo na mimi acha nifunguke..msomsji WA uzii huu utakubaliana na Mimi kuwa shule hii imepote kwenye ulimwengu wa Elimu ukilinganisha na shule...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kwa anaefaham kama majina ya walio chaguliwa kujiunga na certf na dipl course ya computer science mana deadline ya kureceiv applcation form ilikuwa 20th,July mwenye taarifa anijuze.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, kuna wanafunzi 10 waliomaliza mwaka wa 5 fani ya medicine (udaktari), wamekuwa discontinued kutokana na tangazo la dean school of Medicine Prof. Karim Manji, source ya kudiscontinue ni...
0 Reactions
44 Replies
8K Views
hv wazee hii kozi utaajiriwa wapi na inakuaje kuhusu ajira inasumbua au vp?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…