kwa ambao tcu wamependa watupe coz walizoztaka wao na tumezikubali!je tufanyeje maana kwa ambao wamekataa utaratibu unaeleweka ila kwa aliye kubali cjajua nn kinaendelea,nimetuma email tcu...
Hongereni kwa kuchaguliwa SAUT Malimbe Campus! Karibuni tulijenge jiji la Mungu huo ndio motto wa saut. Pia huku wanasema our culture should be no fee no school
1.chuo kiko malimbe,Nyegezi ni...
Jamani,za asubuhi wana jf.samahani minimwanafunzi wa kidato cha sita,nlikuwa nauliza,kwa wale wanaojua qualification anazotakiwa kuwanazo mtu anaetaka kusoma chuo kozi ya Bsc in accounts...
naomba unishauri juu ya hili nimepangiwa UDOM software engineering lakini pia niliomba diploma ya electrical eng. DIT nimepata sijajua soko la ajira kwa software engineering liko vipi naomba...
Kwa wale ambao wamechaguliwa faculty ambazo hawakuomba nawashauri waende kwan kwa mujibu wa majibu niliyopata kutoka kwa mtu fulani huko tcu anasema kuwa,"kwa wale ambao watataka kuomba 2nd round...
kwa wale mliochaguliwa sua joining instruction bado hawajaitoa kwenye website....lakini hii link ni ile ya mwaka jana sidhani kama zitakuwa na totauti sana na ya mwaka huu pitia hii itakusaidia...
Friday, 24 August 2012 23:48
Kijana akipiga mswaki eneo la shule ya Sekondari ya Ufundi Moshi iliyopo Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro
HAINA CHOO, BAFU, WANAFUNZI WAJISAIDIA...
Nitakuwa mchoyo wafadhila nisipotanguliza shukurani zangu kwa wana jamvi coz mmekuwa wa2 wakwanza kunishauri japo kuna wachache walipondea sana mm kupangwa IFM bt kwa maombi yenu kwangu now...
Waungwana naomba msaada wa kujua if it is possible and how to transfer my admission from one medical college to another, say from CUHAS to KCMC. Is this possible, and if yes, what is the...
Jamani mbona wanatuchanganya. Kuna waliochaguliwa kozi ambayo waliandikiwa not eligible. Sasa wanatoa tena kuwa kama haikuwa eligible inabidi kuapply second round! What a hell!
hivi wanajamii wanposema mkopo umepewa asilimia mia,inamaanisha kuwa maswala yote,acomodation na kila kitu utalipiwa na serikali.JE KUNA HELA NYINGINE AMBAYO UTAPEWA MBALI HIYO YA CHUO?NAOMBA...