News ANNOUNCEMENT TO PROSPECTIVE APPLICANTS WHO WERE NOT SELECTED IN ALL OF THEIR PREFERENCES AND ALLOCATED TO OTHER PROGRAMS
TCU informs applicants whose...
kwenye Profile yangu imeandikwa
Admitted in Bachelor of Arts in
Public Relations and Marketing at
St. Augustine University of
Tanzania
je Itakuwa Na Mwanza Au Matawi yao Mengine???
Jamani mimi nimechaguliwa udsm kwa master program na niko Sumbawanga nitapataje hostel kwa campus ya mlimani? Msaada please, joining nimepata regstration inaanza tar 17 Septemba.
UNIVERSITY OF DODOMA
DEPARTMENT OF STATISTICS
SHORT COURSE ANNOUNCEMENT ON DATA PROCESSING AND ANALYSIS
(To be conducted in MWANZA)
The Department of Statistics, School of Mathematical...
Kwa yeyote mwenye kujua nafasi za hosteli zinazopatikana maeneo ya sabasaba ndani naomba atufahamishe sababu tupo wanafunz wengi tuliokosa hosteli....Angalizo ni vyema tukafahamishwa gharama za...
Kwa wale ambao wanamanya opening day kwa 1st year muhas nisaidieni ili nianze kujipanga kimshiko coz huenda nikabaniwa boom maana nilisahau kuweka sign ya mdhamini!
News ANNOUNCEMENT TO PROSPECTIVE APPLICANTS WHO WERE NOT SELECTED IN ALL OF THEIR PREFERENCES AND ALLOCATED TO OTHER PROGRAMS
TCU informs applicants whose...
kama na ww upo kwenye hili..((allocated by tcu+course wasnt your choice+haina bumu+ni ngumu..am mean tango+ada kubwa(especialy tuliotupwa IFM frm st.kayumba)+home hakieleweki+kuchoka...
sina la kusema niliponda sana hatimae bwaaa kulekule,tusameane sasa naomba kama kuna mtu anaweza kunipa utaatibu wa stut mzima hasa hostel na mamabo ya school fees anijulishe.maana saasa kelele...
Habari zenyu wanajamvi naombeni kujua institute of rulal development planning(IRDP) Ya dodoma wanatoa lini matokeo ya waliochaguliwa kujiunga pale na diploma maana hatuoni dalili yoyote...kwa anae...