Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

dah wadau since washatuletea selection hawa tcu sasa tunapumua mana tulianza nao kwenye tatizo la voucher zao na kuchelewesha matokeo anyway ndo hivyo ki2 kishatoka ,wadau ningependa tuambiane...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Jamani mbona mimi accaunt yangu aifunguki nisaidien
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jf bila shaka wote wazima,jaman naomba msaada wenu kwa hayo yaliyomtokea jamaa yangu,aliomba na akawa ajachaguliwa kwa 1st round,akaomba 2nd round ifm,majina ya selected to udom akawepo degree ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari! nawaombeni msaada jamani nimechaguliwa katika chuo kikuu cha Mzumbe, lakini nahitaji nijione kwenye matokeo ya Mzumbe ili nihakikishe. Hivyo wapi ninaweza kuyapata matokeo ya Mzumbe? Mana...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
:a s 465::a s 465:wapendwa tcu wameliliwa weee, hatimaye wametoa posts sasa hawa jirani zai na ndugu zao wa karbu kiutendaji vipi?? Mbona wamekuwa kimya ua ndio yaleyale??
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu kwa yoyote anayefaham available scholarship ambazo deadline haijafika bado msaada
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Tcu
hivi jaman hawa TCU ni mambo gani wanafanya? kulikoni kumpangia mtu course ambayo hakuomba??? mie cwaelewiii m2 kaomba education anapewa accountancy nini hii?????????????
0 Reactions
1 Replies
972 Views
Wakuu naombeni msaada wa kiwamazo kuhusu hii cozi BACHELAR OF SCIENCE IN SOCIAL PROTECTION pale IFM,inafuture gani coz cijui na ckuichagua,msaada wenu tafadhali
0 Reactions
0 Replies
812 Views
THANK LORD, THANK ALOT, I WILL PRAISE YOU FOREVER You are Selected To Bachelor of Education in Arts at University of Dodoma JAPO SIKUIOMBA LAKINI TWATAKIWA TUSHUKURU KWA YOTE, TUWE NA...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau habar za saiz naomba mnijuze juu ya kozi ya food processing and engineering cjui chochote inausianaje!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni kulogin na kubofya tu profile then selection status,kwisha!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wadau mnisaidie,,nilichagua hiyo coz UDSM,,,wamenipa,,sasa nitakuwa nani,,,naogopa kuwa bankteller,,,ivi mshahara wao ni sh ngapi????
0 Reactions
6 Replies
3K Views
jamani Nifanyaje Nimepangiwa UDSM coz hata sijaiomba alafu Ni ya Science wakati Mimi Nilisoma Arts.. Bachelor of Engineer sijui na Makorokocho gani Asee!!!
1 Reactions
25 Replies
3K Views
nashangaa vyuo nlivyoomba vyote havitoi majina au ndo wamelala na tcu jamani wakuu msaada kwa news
0 Reactions
5 Replies
1K Views
sorry guys! Naomba mnisaidie website ya Saut songea centre...plz!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nataman sana tufahamiane kabla hatujaingia lecture hall..plz tutafutane_0655 804328/0753 804328
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana jamvi napenda kuwasilisha mada tajwa hapo juu kutokana na ukweli kuwa tcu wajibu wake sasa over ni baada ya kurelease selection.Sasa nawapongeza waliopata nafasi ambazo kwa kuzitumia vizuri...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau wa Compex habari popote mlipo,Mabibina mabwana ni mda mrefu tangu tumalize pale,Ninaposema Makanyagio unapata picha gani,nisemapo MJANE unakumbuka nini,nitamkapo KUDISOLVE je...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu tujuzane niingie wapi ili niyaone.
0 Reactions
0 Replies
835 Views
TUKIO linaloendelea sasa nchini na katika halmashauri ya wilaya kinondoni ni matokeo na fundisho kwa wanajamii kwamba walimu ni viumbe tofauti na wana namna pekee wanapohendo mambo yao, fujo ya...
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…