Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

WANAFUNZI 201 kuanzia darasa la tatu hadi la sita katika shule ya msingi Kidugalo kata ya Rwinga wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma wanasoma katika vyumba viwili vya madarasa kwa kugeuziana migongo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
for those who applied for degree programs in different universities those who have been slected their names has been sent to respective universities if there is a person of whom u know please get...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
JF members I would like to know if there is any probability for a CBG student to go for further studies in the field of Doctor for medicine. Your comment will be appreciated.
0 Reactions
18 Replies
4K Views
n.b 1+0=10 73-3=7 3x3=333
0 Reactions
7 Replies
1K Views
MSIBA MKUBWA CHUO KIKUU CHA WAISLAM MOROGORO. Hawa ni miongoni mwa wanafunzi inasadikiwa miongoni mwa waliofariki dunia katika msiba wa Meli iliosama hivi karibuni wakielekea Zanzibar Jumla ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Majina ya waliochaguliwa kusoma Postgraduate studies katika Chuo Kikuu cha Dodoma haya hapa: http://www.udom.ac.tz/index.php/list-of-successful-applicants-2012-2013
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wadau, Vyuo Vikuu pawe mahala pa kuleta mabadiliko, mitazamo mipya ya kimaisha, kuzitumia fikra sahihi za wanafalsafa na kuleta changamoto zitakazoibua mifumo mipya ya kimaendeleo na si sehemu ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenye taarifa zaidi kuhusu hyo kozi hapo juu anijuze,na inafundishwa CBE TU tena tawi La Dar..
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ndugu wana Jamvi la ELIMU kama mada inavyo jieleza, naomba kuuliza kama kunauwezekano wa Mtu alie soma degree ya Mining akaja kuchukua Masters ya Petroleum? hii ni kutokana na upungufu wa vyuo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ni nchi gani ambayo inatoa masterz nzuri na ada yake sio ndefu sn? niliapply vyuo vya UK ila ada inarange kwny 25M mpk 35M hivi ambapo kwa private wala ctaweza kujilipia, nishaurini nigoogle vyuo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
I am interested with the habit that Jamii forums members haveof sharing with each other life issue, I would like to ask for your favor.Currently I'm having an offer later for the Master of...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
eti kuna wa2 wanasoma doctor of medicine bugando ambao a'level walikua na total point of 5 yani dde, naomba msaada tafadhali kwa wenye ufahamu kuhusu hlo, thanks in advance wakuu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii nafikiri inasababishwa na upungufu wa walimu hasa kataka shule zetu za kata ambapo utakuta shule ina waliu watatu au wanne ambao hujikuta wanakuwa na mzigo mkubwa wa kufundisha idadi kubwa ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF Mimi ni mmojawapo wa watu waliomaliza Diploma mwezi June mwaka huu, na mpaka matokeo yanatoka tayari muda wa kuomba kupitia mfumo wa CAS, ulioendeshwa na TCU ulikuwa umepita, sasa napenda...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanafamilia wa JF, Habari za muda huu, naomba kuwashirikisha hitaji langu. Nilikuwa na shida ya kudownload hizi paper: 1. ''Design procedure for border irrigation''A. A. Alazba 2. ''Numerical...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habar wadau, Nina wazo/maoni. Kwa nini kusingekuwepo utaratibu ambao utahakikisha mtu anapofariki basi hata vyeti vyake visitumike tena? Kama vile vyeti kurudishwa tena BARAZA/CHUO... Inauma...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi kwanini kila serikali za wanavyuo zinapochaguliwa na wanachuo wenyewe kwa nini utawala hupenda kuingilia kati maamuzi ya wanachuo kuleta uvunjifu wa amani vyuoni..Mfano UDSM, LUKO...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi nimechoshwa na baadhi ya thread za watu,najua kila mtu anahamu ya kujua amepagwa wapi,ama ndugu yake amepangwa wapi. Lakini tatizo watu wengine humu wanatumia vibaya hili jukwaa,kama mtu huna...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tembelea website ya TCU uone majina ya applicants with missing infornatio na upate maelekezo nini unatakiwa kufanya kama jina lako lipo.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Nimemaliza A-LEVEL 2009 PCM,napenda kusoma biolojia ili nitimize ndoto yangu ya kua daktari,kwa vile nilifaulu vizuri chemistry,physics na adv mathematics.Naombeni msaada nifanyeje ili niweze...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…